Mazedonyo mtakatifu mweremlti 24. Januarjf 450. WATAFUTAJE? Palikuwa na mtu mmoja, jina lakeiMazedonyo, aliyeishi peke yake. Kazi yake kusali na kutubu. Kwanza aliMiada- miaka 45 mchana na usiku katika shimo refu. Baadaye alikaa mwituni. Siku moja Bwana ;Kyama alifika mahali pale naye alikuwa akiwinda. Hapo akamkuta mweremiti huyu. Akashangaa akamwita akisema: "Bwana wangu, niambie wafanya nini hapa? Watafuta nini katika mwitu huu?" Mweremiti akasema: "Basi, nitakueleza, lakini tafadhali niambie kwanza wewe wataka^e^hapa?" Mwindaji akichekelea akajibu: nLo! Nawinda wanyama kama ngiri na mbawala na mbun^ju na wengineo." Akanena mweremiti: "Nami namtafuta Mungu wangu. Siwezi kuacha mawindo hayo bora mpaka nimwone Mwenyewe uso kwa uso." Bwana ^yama akanyamaza, na baadaye akaondoka akiyawazia sana maneno aliyosikia. Mazedoyo mtakatifu aliishi wakati wa mwaka 400 tangu kugaliwa o Bwana wetu Yesu Kristu. Kumbe hata sasa watu hufanya kama zamani zile. Vengine huwinda anasa, na wengine humtafuta Mungu. HMMW Nawe msomaji watafuta>cf?