Citation
Utenzi wa Barasisi (MS 210010a)

Material Information

Title:
Utenzi wa Barasisi (MS 210010a)
Series Title:
Hichens Collection : Utenzi wa Barasisi
Added title page title:
أُتٖينزِ وَ بَرَسِيسِ
Creator:
Said bin Abdallah Masu’ud ( Author, Primary )
Saidi bin Abdallah Masu'udi
سعید بن عبد الله مسعود
Publication Date:
Language:
Swahili
Physical Description:
21 f.
Materials:
Paper ( medium )
Technique:
Typescript manuscript : In black type

Subjects

Subjects / Keywords:
Swahili poetry ( LCSH )
Islam ( LCSH )
Legends ( LCSH )
Uislamu
Kiswahili mashairi
Africa -- Eastern Africa -- Swahili Coast
Genre:
Poem
Utenzi
Poetry ( lctgm )
Spatial Coverage:
Africa -- Eastern Africa -- Swahili Coast
Coordinates:
-9.633997 x 39.778998

Notes

Scope and Content:
This is a typescript of the Utenzi wa Barasisi, which narrates the temptation and demise of the monk Barasisi. MS 210010b provides notes on the story. Lyndon Harries (1964) and Jan Knappert (1999) also discuss the poem; worth noting are comments by Harries on the authorship of the poem, which, he argues, cannot definitely be known. The typescript contains errors, and the page containing verses 110-119 is missing. ( English,English )
Abstract:
A Swahili version in verse of the story of Barsisa
General Note:
Date of Composition is unknown
General Note:
Languages: Swahili (Roman script)
General Note:
Poetic Form: Utenzi
General Note:
Extent: 21 leaves
General Note:
Incipit: Bismillahi ni kwanza, Jina la Mola Aziza, Rahamani naongeza, na r-Rahimu tatia
General Note:
See also SOAS University of London manuscript MS 210011a
General Note:
The Hichens Papers were donated to SOAS on 17 July 1967
Bibliography:
Publication information: Harries, Lyndon. 1964. The legend of the Monk Barsis -- a Swahili Version. African Language Studies 5: 17-33.
Bibliography:
Publication information: Knappert, Jan (ed). 1964. Utenzi wa Barasisi wa Saidi bin Abdallah Masu’udi. Swahili 34 (2): 28-37.
Bibliography:
Publication information: Knappert, Jan. 1999. A Survey of Swahili Islamic Epic Sagas. Lewiston, New York; Queenston, Ontario; Lampeter, Wales: Edwin Mellen Press; pp. 39-41
Version Identification:
Layout: Mistara, black ink

Record Information

Source Institution:
SOAS University of London
Holding Location:
Archives and Special Collections
Rights Management:
This item may be in the public domain. Its status has yet to be assessed.
Resource Identifier:
MS 210010 ( soas manuscript number )
MS 210010a ( soas manuscript number )

Downloads

This item has the following downloads:


Full Text
Utenzi wa Barasisi

we Baidi bin Abdallah Mesu'udi
Bismillahi ni kvansa, Jlne Is Mole Azizs t
Bahamas i naongeze, na r-Rahimu title.
Imetimu iaimuye, Rabi aliye pekeye,
Kumsilu kwa sifaye, sitaieza wasifie.
Sife za Molt latifu, hapo muweze zisifti,
oifa zake raearufu, hapo esiyetambue.
i\a s if a za kuhamadi, nazo hezine idsdi,
jP8ailapo taradidi, niwaneo tawambia.
Bwene chuo mekatubu, kwa lug ha ye kiarabu
Bsffii yakani jibu, hapenda kuandikie.
Mikomile dibaji, ndio wenzo n diriji,
Kwali kiumbe mchaji, na jinele tawembie,
Jina lake Bares is i, kiuEtbe asiye kia & l *
Kwa safi yeke nefuai, akamhofu Teals.
Kwa kumkhofu Bubuhana, aketuruku na zina,
Beta wake hate wans, wote akaipkimbie.
ilikeleti swituni, kurauabudu Manani,
Heli akija muini, uiaziyele siku moja.
10. Akaturuku wakewe, na jamii ya wenaie,
Kwa ibada ya kola we, laili wa naharia.
11. Akajenga na kibati, ndani ya mwitu katiti,
14a maishaye sanati, myaka yak tawambia.
12. Toka kuamini dini, na kukeleti rawituni,
Yali myaka aabuini, mwituni aliyokaa.
13. Kwanza ikawa kuaali, kuta kutwa na laili,
Kurauabudu Jalali, aiweze kunyaniaa.
14. Bilisi huona hayo ya ibada alo nayo,
Ma madua asomeyo, shughuli zikemwingia.
15. Kakusanya jamaaze, kamba, "Mdooni, niweleze,*
Mao wote wasisaze, kwa wote wakarnwendee.
lb. Kakutana maluuni, auladi shaitani,
#akamuuza, S,U nani ? Tuarabie alotuelea."
17. Be ba yao akanena kawambia luyi wane ,
Hyote mliokutana, nataka mtu mmoja.
18. Malik kijana cheraa awezaye kusimama,
Kumbadili ratim huyule raja walia.
w '
19. Ind akamgeu^, aubadile moyowe,
Akali kama wenziwe walioasi Taala.*nix* >; x ti Jc^e or^ ^ sri
# I J",L V i. J ? ; V i v Xl j [.'J. j -.i - ?;. . :
. ; J r > i 'jm i -X : >S : Ix
rOt^:. xxdl ^ cv^ ^esA itdli-:
. . V i..1J rI'A. 0 ; X
\ ^ ; . / : if.ia t ' :: 3Si : '
. SOf'IB vv \ l; J C V SO* x. I v. J 0 : H h
, Xi' iiiS i --x.i
Jcl > 'U t <3J/i ^ imtj L; f
i%iu ess? t aa^n^s esnj sdsa
'X:. I .i 3*8a;3 fc n I 10/ m : [ i: $3 8 J X._ 61
vxi l^w <*}if%Ud XsiJX x 11 . :>J J .XT ; : : ,> ->":;

. i-e^oil'-w "J >

20. ^nde akambadili, amgeuze na heli,
Aaisome, asisali, awe kiurabe juhaa."
21. Kuwambiake wenziwe, akasema mmojawe,
"Maweza twaa moyowe, kaugeuza tabia.
22. Mimi nasema naweza moyowe kugeuza,
na tena hampumbaze hampisha bovu ndia."
23. Me huyu aliyejibu, ia imuye iakutubu,
adiye baadha harubu, isimuye tawambia.
24. Euyu bilisi muudhi, aliyejibn gharadhi,
ndilo jinale Baidhi, mwenye hila ne neika.
25. Biliai huyo awsli alinwendea Resuli,
ka jifanya Jiburieli, Mturae kamtambua .
w'
2b. Kumjiake Eisuie, Mtume kamtambu^,
baadaye kashukiwa Jibureli kamtelea.
27. Kamtwaa Jibureli, akenda mtup mbali,
kwe ghadhabu z Jalali alizomfanyizia.
28. Akapotea barani, kijana cha shaitani,
hats ikaja zemani ze Bares is i, sikia.
29. Buyu baadha bilisi kanrwendea Barasisi,
kamtia wasiwasi rawituni alikokaa.


' s 5 ii.' *u';:: idy: nt?s ,;.r ,i e s ,,- e di a
, c . -v... ; . a".. J J a. .
, 3i Zi ; i . i , .7-;
ida-j^si u ir-iif X''i A-'Tjid *
. M J.; msi ru si t <:um&4 m bs
, ids ; Ii& m i&iU'i f}%g:i
. aziza, z;z slid is§ XBfli£ oXi&n
, ilzsz/ tbfee^i U e ra
.Z'I-aJ :;: mt?4M ?: sitami .ua
. snlelKftJh ilesndil ariiodsaj s^sfewad
, i ;i. ; ,. I 7 . .
. Si Si S 0SiX i 11 X at 6& ;' d Z fe 3d'jj 0SO
. iaaji 5 10 a ;'; 1.7 f i.. a 7-. 7 :
. 1 zi .; v-a 7 irrrm %&:-! tj
. : : a : . a/-"! 7 i I ; .. a i. j. j. ,a
z a a: a:: i i $ £m-4i $ i zavi a .a; siXza -a.


/
30. Akamwendea baadhi ili kwenda kurauudhi,
akenda mpa laadhi kasidi kumuhadaa.
31. Kienda kwake maluuni, kangia msikitini,
naye alijizaini nguo njema za kuvaa.
32. Kunglake ibulisi, kamuona Barasisi,
ali katika julusi, akisome yake dua.
33. Bilisi katakalamu, kamnadia salamu,
Barasisi, mualiisu, asiieze ajsotkiax ipoke'a.
34. Kanadi raara ya pili, "Salarau ndako, rijalil
asimjibu kauli, akezidi kunyamaa.
35. Ma Barasisi mtuwe, akiabudu Molewe,
pakitokea raienziie haiezi mkurubia.
36. Akiabudu Moletu, haiezi sema na mtu,
is la hatamani kitu, isla haioni ndaa.
37. Baondokei msala ilia majira ya kula,
i
Au kinenda kula la au la ohooni kungia.
38. Baidha kuona hayo ya ibada alo nayo,
kashawiri wake moyo, akili ikaswambia.
39. Ikimwambia akili, "Mi kheri naiai kusali,"
fakatawadha wawili, kusali wall peraoye.


sbrmos Ui i-lh-iM ahimmwk
.B^wiumn- I Sis*m id ft as* sBassle
, IniiixU sm s|. iasssjI to % a a I >
. s s na s s at'n {, n 01? 1 xii § a x;, i I s 3 n
, 1. si a ax Mi MjoM -a i s ilu'rfi 2 si ^sxfji
. -xiCSiA'- j. J A iis
, m sis s n b mms3 m si s: si y 1 u X i 3: %
I iiiii'i t osf sSii uax s I a 3; ,111 % 1 \ s as 1 fe su a a ,
a 'iAjftmi I M A 3 1 i ;MipAi fcS
, sw^ioM v. ;">:u sly A i tie-at&g si
. iiux-Aj isfwsrf
, 'AI Issssd . #&tftf*hf4 3;>
aXs nil:- alas
, AJJi; Sf Sli^SS? sill gi860 |iS5ic&fl08li
x
. ifloado si a 3 bX 3&nj3jt> uA
ois xoxii sA of sd 3cofij 3
ldmaars3fi i lists of CA AAV. iriwada2i
i^mfoi jl1' J r 1 A udimmMl
. if OA Sq 1 j. ,y XI 3S Vs. t 1 i. 1W 6>.' 'iff 5 B j' 93: 8i


40. Bata wakisha salati pamoja wakikeleti,
wakaleta yao kuti, wakala wote pamoya,
41. fakisha kula wakisha, kuti yao wakondoehs,
Akafanya mshawasha Barasisi, nawambia.
42. Ma sbakaye ya moyowa ni salamu alopawa,
Bilisi aliyotowa, Barasisi kanyamaa.
43. Kumuonake haiba na kilembakwe kikuba,
na dua zake za toba asomazo kisikia,
44. Moyo wake ukaleta na majuto ukajute, leta)
kwa vile alivyomwita naye kumnyamalis.
45. Akasema Barasisi, !ilwe, mwana wa bilisi,
nipa radhi na nafiai kwa kunita hanyamaa.
46. Hapale nali shughuli, nali katika kusali,
kumuabudu Ja la li, ndiko hakunysma lie.
47. Mind ni mtu wa mwitu, sipendi keti na watu,
kwa ibada ya Moletu moyoni iloningia.
48. Miketepo peke yangu namuabudu Muagu,
pakitokea mwenzangu, moyo wafanys udhia."
49. Shaitani akamrudi, "iwe, mana wa ibedi,
kuja kwako makusudi nijile kupa dua., i r ;:-:i> v -^afl-yj ijolo. adsjoo ^ r .4
ost c a
- e id;:' vhiyss elad sdsiMst .i>
.sidimso 11a/aasad sriasadas s^osia*A
. s^r-cia smaJUf in a^o^os e^sx.&l s sa
i&miv&Ek iosoa- a: :J a 11 s ieiXil
, VJJO jJ. :. O J. J O. : 1 .': 1 "'J ;
'. i aid JJ,, i- Jc a adei as v as o .
itdol <*jp£aHf cJj^isn a sdei^E; 'o -ov etc a .14
. :u A 3JJ'VJ:..:*;.'/ oo;: ajipw^vi IS f|i¥ sci
. Bairnsi iv). ieltan. so MfHft sfio
ii'O 1 fr,j|i i i "... !>
. si:f m. v,00isrf c: I 4y t£XIMt t/bifddsartn!
m ifw^Js. ,j!'Sm ew tfM ia ieiM .va
.slyd. c'i iso sjalo r-, c :
; v";: i ..; y 'j
i p si :! U a : : iJ-ivj : a ,..... yi ; o .
.wo aqr: ^ Ilf Xn iiaasadsa c: srt.o


50. Mijile kukusomesa dua njema isokosa ,
na ambapo wafuasa utaona manufaa.
51. Ma hali yako uliyo, usomapo dua hiyo,
na ibada ulo mjo, utazldi kutangea,
52. Mami nitakao kwako uuifunze dua zako,
usiaome pake yako mimi nisipoijua.
55. Mi naie na tufunzaae, wsla tusihedaane,
aa afanyae mangine, Rabi atainuamua.
54. Barasisi akakuli, "Adhini tupate sali,
wakati umetuuli,S! wakasali kwa paraoya,
55. KaaaXi wawili wao na kusoma dua zao,
wakiagana wa leo, bilisi kaandema ndia,
56. lakapans na abadi, siku ya kuya ibadi,
ikitimu akarudi bilia i kamuawia.
57. Mwida wso huiaema arubaini yauma,
hat a mwida kikoma ndipo alipotokea.
58. lakaaali aala zao, vivile uaoja wao,
wakapana mwida uo hats wakatimilia.
59. Xbilisi kiwasili mwida wa mara ya pili,
na juhudi ya kusali na kuaoma jema dua,


$|x> c si aie f r I asm: twi0 11 i | i... QI
, axlxxxzi lac vjn eszriir c-z.Z as an
anf ofs^a tcv;I!j; 01x7 gj§ | g
.^^oji.;: .r-sajf- ovxx; al&ii an
, ex 37b osfyjtliin c:- : x. Is&it I
. Syr icq! Lii.i s, .77 ci v- 'xxcia&L
. 7, xX J 7li MIS X.UxX Xz. X. b >
. 7x- 0 I. J ;'7.i.X-.U7 . til
sisQr.fi inidh&H .i,,7. igiawfi +H
. 3 5.2: II n 7 . i liii i jxx as-
,0X7 Sijb 770X77 m C'K. ii i >SW ii OS 0 . -
.sifea x:777i77:- i|ilid c7J xx
'.ixxxi a; a axi maaaslai .ox
. 7i 7ZL7 7 J. si 114 1 > . 7 s xxxijixi
. 7-X-7; i ill X ; : 7 si X 0 : X) .
QQils XX zM-m si O'i
ofczo n7uv ,ox.' aX&t iXasaiai .7,
,711 i -ii i as 7 x 7 i sd ox x" i ,; xz 1 a 77 ,v
, iii ; XiX'i m ixx ^x; j. J1 so xix iailiiX
, XLX 3x7.^ XIC SIX: ii.ii'I 3 f. i OXxi.;, 77


60. Bsrasiax kayakini, "Royo ni mtu a dini,"
Esjui ni sheitani y kvambe amuhadaa.
61. Yale Baidhi bilisi kamiambia Bapasisi,
kama kus ema ha dig maneno akamwambi.
62. Kamiambia, "Huko k*etu kuna sehiba, rassenzetu,
na ye hapendi pa watu kukae nao pemoys,
63. Apenda peke akae, asali ali pekee,
lis dini yako weye naone kumzidis.
64. ieye yako imezidi, nakuona aa juhudi,
ila yeye arukudi usika ukingia.
65. Mi naye tafuatane siku nyingi tuendemene,
na leo na tuagane, naye nipate rawendea.
66. Barasisi kuonake kwamba kesho end xake,
as is erne, a a it eke kwa buzoni kmangie.
67. Shaitani kemweleza "Bapasisi, niaikiza,
ina dua takafunza hata ipate kuelea.
68. Usomapo hiyo dua hata ukaitambua,
mwenye dili yaapoa ambapo wemsomea.
69. Mwenye dili ya wezimu na maradhi ya jidhamu,
ujapo kulisha zasaa soma, jamii yakondokea.


: e ixxji-U- cfix f ij si fi a i u a si a
. oiXbsx 6,'u: toot jifisiciaxQ la. s^SgX
. $i.if3s is AJca uiis yseq-gU-a sasri
, is asniI a Mil as iasX! sds ,
sals a isv-Avi o-.i ifeedi so s&d '
. .AA A."/ si; il .A
.axis .Ailid iHiijs 5ol A 5
? v --j; sl;i ai I a -. : x Aa- i i \,i
iAiis A SdSSl^S^
ii i fa.A t iliiSxX: SUA sAS?]/: o V
u I: i I : AO } I j-. O.'i V- Ojj n^i' A
^lsj&mUfl -VAO Aii iliq st is BAY': efoH t-v
' jAiOiO booooooaa CAVA ^c^. mvM! *SÂ¥
. siSYAAA -OAio^n : A:. ;/jej;A M
, 3-., oAdCA ili OA.Oiio.; j'ov. iiug
. saw-j?.: si <|-Xai lei'pa


80. Bilisi kuona kwao hali adugu watsngio,
ka j if a ny a a j ua o ya uga nga kumw e 1 e a .
81. Kumuonake hawa*le lakaiBweadea babale,
na kumsaili dili, ramli kiwapigi.
82. Kaagua aha itani, "fiduu yenu am jini,
ataka ngia kitwani, asomewapo takwea.
83. Ma mimi i rawalimu hirizi na talasimu,
pepo hoyo ni ngumu, siwezi muazimia.
84. kkono ha ukunipa hirizaagu kumpa,
ila mganga tawapa, mkono ulondokee.
85. Bndani kwa Baraaisi, mumtakaai nafusi,
pepo wenu fi rasi hana budi atakwea."
86. lakasema waliopo, "Hatumjui alipo,
Barasisi aketepo Bilisi ekawambia .
87. ikanena she itani, "Aaimjua n'na.ni
Mawambia yu rawituai, hapo asiyemjua."
88. iakondoka wote pia Barasisi kumwendee,
vakafika kannambia, "lujile kvako, walia.
89. Tujile kwako kasidi, na weye usiturudi,
tufanyie la miradi hayo tuliyokujia.


, ox-m^Ha urtj-m ilmi ceo $..01*1 i&l.ilti .to
. sole y syanit'a
.aly M/oio iLst* ,1X16 iliosmxs act
,./ v.i -f.fia a--.;, .. t. ii y ?i. : ....
. sevdai oqmmess ingyXio' soy edsia
, fj; 1 sX a. ....... -... : a';.: .-... : ;s i .. .
. lis&swta iseteis in c\>a eqeq
u^miiM asioasr si oaesUi
. O'Oc a.r;.MJ 01c: : a': s y> a a a; si I
,i.sirl30 iaoaoaa isi:. oa:. rotftc? a'
. v a j 3 ibjwf a., a a i 1$ oqeq
,a y Is iidyy.; yyi.Lsc Jaoajoa
. si tfai a a as a j si j.J. & t 0q j -v> g i gj 3gtjgf?
' isaas a ., :a a i.ayi so. a. as:. : O '
. oio; v:si sa coo Itiui.im O; .stsso at
. ioiosoo siq "osss eieitaejUt 00
. exist 0aaoi tii|xn' siOasiosss sdi'Uis
XBfiixsdisfj e^ew so ,Xf>£tii aaoo Xx^f .it
i aiy.idc.tilj.- C\. j 1 XDiWiffl si i tiiBatJ


90. Tuna mtu ni muwele, siku zote ni kelele,
na daws tuzifanyele jingi hazikumfaa.
91. Tukenenda kwa waganga wa falaki na mtanga,
wanena, shuti kumpunga aa pepo atamjia.
92. Tukatoza. nujumuye, mkono wakupe weye,
twapenda muazimiye na pepo atamkwea.
9?. Tiakutaka twende kwetu ukagange nduu yetu,
nave hutakosa kitu ambeoho kltakufaa.
94. Kwetu utapata mail kwa watu una fadhili,
na kwa Mungu Jalali thewabu utezitwaa.
9£. Barasiai aka rungs, "Mb one mimi si mganga ,
wala siwezi kupunga, mimi langu ni wslia.
96. Mimi langu ni ibada na salati na shuhuda,
na aomo ndio ada Ramadhani ikengia.
97. Mimi sijui hirizi wala kombe wale mwezi,
wala kuganga siwezij huwaje pepo kuvia f
98. Papo wanenezapo, Shaitani kngtK keja pepo,
akawafik walipo na sura kaigeua.
99. Kajigeuza surayo kams mtu a pit a ye,
kiwafika awambiye, "Mwateteani, jamaa ?f!


in sc^ia in maf
. Bit: -aikaI sl^yialisf?! staft m
.axgSJA SIX .AA.! XI AX A:X
. xigifxis cq-aq as A..-X.XA.ax iixds mmu-
t XfAW SOIX XX oXOXX XXCABxaa
. YAsArAij 3 XX ASSlx-AA. AXXA| Swd
Jijog nxbx >AgXx XA.. XX-XX to'rl XxXAxX:X:
.ealx-xAjix oxcxixx XJXX xxxx -jxx:
, ilirfx3i uxxa lias xAaaax sde&S
. 3 axa i u x j'x X'A; ,X7 iial'A jTgffJiM :H.A A'i
^ SXVIi 8 XXX 13 AS..; AAA AXAAiXB 1 XIXXXXX
.ai isw ix xx.a Ja A: xx..:xx-x iaoiri-a aisf
, sxx.X.xX. m xvxixx absdi in mill
. xifxxxi J.X .v X: 3X cix;:. OA a xx
'ISftgfll xl.xx X,..XX xUx ixi-;X3 j J 8 ifflff
axviiA ogAg jixasxe s^ssgfiA sX'Ser
. XX X I V: i A ACflSSi i L i Sfife X i AX; X; a X X ; A.
. X]XV X A XX'. a XI C'A ? 'A A i'i x?: 'A X
fffm YXAv '. I',. 1 E , 3.x
t9xsixsxis


100. Akasema shaitani, ajA#aa, mweteteani,
hoko mliko mweitaai, neneni tutawamua."
101. Bawale wakatongoa, fl$|uu yetu augue,
tujile kutaka daa, naye kienda mfanyia.
102. Tukenda kw8t wane jimu, watwaabia waalimu,
'Maradbi ha ya raagmau, yataks mtu walls.'
103. faganga tukawata ja, mtu mmoja ramo ja ,
a ate wasiwe na hoja, nujumu ikakatea.
104 Ulompata mkono tukapawa ni hoyono
fakisa haya maneno Bares is i kawambia,
105. "Mimi uganga siwezi wala sijtvi hirizi,
mimi ina yangu kazi ya ibade na salaa."
106. Shaitani katongoa, "langu takaj'-aamua,
Bsrasisi feny* dawa ndiyo yalokulek^a.
lQ7. Manyi ndugu, niwambie, endani mkamtwae,
Mumpe, aketi naye, kama haya yalekea.
108. Bar a a is i akanena, "Nyuraba yangu, waungwana,
haingii mtu tens ila ni mirai mmoya."
109. Shaitani akskuli, "Uneneleyo ni kweli,
kula wakati husali, huwaje mtu kungia 7


, J 7/77 i 7. % n- J J in 377-2 07 a
. 7777 AuS ... nr u ,i-J- :nv-. o>ii> c) ?
< 7 8 1 j >7 S-Olfl :"7 61
. 7.x 47:7.7 i 717/ : ; 7. 7 7 77 .. 7

I- 7
r fXT
7f. .:
^ i I 7 7 7 U 1 :7 7 J ? 17 ?i [ 7. 7 7 7 6 7; .7- 7 U T
*x7 777 77i 4777 7': ? 7 od <^7 277 7 "' S ? ;
" crio^o"1 L.i 7 67; -7 7? C7 7 7: J 7xJ C ?L v .1
< i 21 ZH'IB-i 0777:37 /i ealion
t isi $iifi ij;71 a 170717 0,-77.7 inu *nOJ
. :3.r 7 7: .577. 7 0 17 77 V :?!i7 77 1(717;
m
7 37 77 74 4 <
.[07*0.1 r Vj 7/ ^^ 4 1 i
777:i I 7 7.'> ? 7.x 7.7 dl 7 i
jfftfl£ t i BO f\
t 0011 77 edmf . i i
X.: .in in ?Ji si
77 7 in o^l^mnxA , i X.
tOi ,7' u wnd I 17 a:
r 4
K a-ftf
7 : 7
* -. .,/ x.


120. Kisakimwondoa tini na kutoka shaitani,
Naye akenda nyumbani ila kwenda jisalia.
121. Akenda nyurabani kweke, akasali peke yake,
aki8ha sali atoke, punde awene rijaa.
122. Yuenda kwa taratibu na manuka to taibu,
hata akatakarabu salaraa kumnadie.
12?. Kampokea salamu kwamba, "%e, mwalimu,
karibu ya ghulamu, unipe ulokujia.
124. Karibu hapa, uketi tuyingojee salati,
wakurubia wakati," Yule kadhi akakaa.
125. Kamksf Kanaraa ni she itani aliyekuwa.kitwani,
kajigeuza launi ili kuja muhadia.
126. Akisha kutekarabu ikawa kumfeawibu,
kamuuza, "0 tabibu, ndiwe ufanyae dawa."
127. Kemjibu, "Ni thabiti nimeletewa binti,
halali wala haketi kwa jini alomngia."
128. Akamuuza shaatani, "fafanyiza dawa gani
hata akaja kitwaai 7" Barasisi kamiainbia,
129. "MiMH N'na dua nalifunza, hisoma pepo akweza,"
Shaitani kamweleza, "Zidi kumuwazimia.


iirsii a 'ffi^n'): an itui sob&emli-atl POSl
.aileai^ -"w.yy sli i;itfsanfn \ :. 3 eyski
enewe &hu.q v-'-ts i-Iss adM&B
ej CJ m m i'-iiiM-isj sae sanetOf .S&L
. .J.ihSfKW >: StSal 58 f ; CHBxUJsi sj&rf
iJHUlfcfgl , * >1
, si I vtfoiu eqiijm was! d^ erfi^ej*
.gasisMe -1 tfY' (iti$rJ.n? ai
, Isattfii isua s insjimi is
. iSjMfaosr iii I4&&X sfijregitasA
es^nsiif o."I% .ttditfdJ
. ijnid' a'^tt Ja' I
-ii ^anal i L'iii *g( litoTetf slst ilslsd
inaj awaft sai^nalil' InajAafis tsussa^A
wtsssds safe m*ti ..sm.'
. sir;i u'mmni I hi ln smi vm insii sdS


IPO. Me hivi seaa enenda, ndiyo ass ye kapanda,
nam! he pa takulinda." Barasisi kamwendea.
181. Akarawendea muwple, kainaomea papal,
shaitani amngile kitwani akatengea.
182. Kungia kwake bilisi katengea fi rasi,
akenda kwa Barasisi na nguo anazivua.
183. Ikawa kutangamana, Barasisi na kijans,
na bilisi maImma shaitani kawajia.
134. Siku ya pili civile na ya tatu ns yayale,
akahimili muwel mimha ekitukua.
185. Barasisi mualimu akangia nyingi hemu,
kwa raimba kuia haraau, gala zikamtolea.
186. Ma papo yuasali moyo how a na shughuli,
akumbukapo hiiaili uradi umpotea.
137. Ba adha a ka j igeuze aka ja a kamza,
kana kums ima ngiza mambo ys 1 iyomp it ie .
138. Akamuuza shaitani, "Barasisi una nini
Kamjibu, "Miaemeni ? Sinayo ya kukuambia.
139. Na mambo yanipeteyo, netsmani kufa leo,
na aibu nilo nayo ukitaka takuarabia.


/ V > a; : a .a a .. ... i v J .. "
' 1 a a i slsnsa a ....,' U : u n a; i-r-M
urovi* ww'im&a.
s% st-gju^Jwi isi-Ild vva
. .la vi a cLau'i a., i si j-v; a'a.-a'a
, aa i: na i u v, a. ar.,.j; : a: .:. i
. is I a a? i.. aji a : s in;; i a i I a..
. ,r ; ; j--.; a, aaa 1,; ... ;v Ja j f f : '
. annnjla a £ns
, and Ionian: ei$u3? j-rHum .dSI
. B^Xeft a. i aiaa aa.nr-aa ; aaa; By.ii
. j a J r.a I i nai a a an .
,8a.a a>a aj, SJLS SiiJ"v--i Uv a ^nnn;.; V?I
. si jiqne^il sinsm r sa.w a. .a
lf? iain em* IslsaisU" 8'aI
, aidfsti.^i or n] £ ? f0djis£
. n-i in, c^.^da- a. a. ... '*J
. eifen J aa aai: ;; o^sa ciiaa ami ft a-;


1
140. failjile waungwana, lakaja nipe kijana,
mwanamke msiohane, 11 i kuja fanya dawa.
141. Ma da ws nikazifanya, bills i kanenda ghaya,
maovu akanionya nam! nikamridhia.
142. Ma seaaa ana himili, atavyaa atifali,
hAhxr nduze wakiwasili sinalo la kmambia.
14P. Shaitani ibilis i akarawambia Saras is i,
"Sitaharuki nafuai, yangu ukiyatomia."
144, Shaitani amwambile, "iasia wangu atvsle,
uaimngoje avyale, yanga ukiyaridhia.
145. Taka leo tumuue mi nawe tumchukue,
Aibu hii yondoe Allah-Allah nakuambia.
14b. Bata wenyeie wajapo, nduyao wauzapo,
wamble kwamba ni pepo ndiye alomtukua.
147. Bepo aiipomkweza himshika, simuweza ,
akasiri mpoteza karaa hsyo yelekea."
148. KifcsxsxigM Barasiai akaseraa ,f Miyoagazapo dhulama kesho sipsti shufaa.
149. Shaitani kikeriri, "tfaohapo sitaghafari,
Rabi, ndiye, Maghufiri, due zako tapokee."


, ic 5I i:: min a;; a:: >w masw -41 < 1 Is
ill Sa;fldtsi 8(3
-ii"! isiliy t .v,.. ^isisli,, afe si ,1
,'MjtdMwtXla mm rvom
t I IS'UJ^ SSa. ^SJ '-S I a. IF! | fl SJ.3B
. si" c; stfie ili a **:r,!Sri bs&'M
sirfsjaqssttl* isilisl imfiodZ .
.'VV-/P fqim .-v , i'i. invSiiidv, ,-ii
i 4*6$ I f&'tts&sj fiisJ
rf a.n'-dsilri , ii;; fldli
t cv ssga esfpfta ¥ ** ess^sfrw sltl
. is s-dm-ir Bldmw:
' t ai t 1 dsid s&meqUs cqfi
tea is QBI iSH^mat* 8#i
§ , & aqsios:;/1 iixsli sfic ,tvl
estfpqfti cqfsa Sf'o ,i tiMga , , MsM


150. Bares isi kekubali, ekayaona ni kwtlij
wakenda kumkutule kuzike ne kuvukia.
161. Yule bilisi skim, aka fany na a la or,
nguo ya yule huraia, sends sliyozikiia.
152. ikatisa nguo zake alozikws mwsnamke,
shaiteni siweke a lama jb kupajua.
158. Sbaitani kwends kwske kawendea nduu zake,
jamaaze mwanamke yule waliyemuua.
154. Bili3i akends kao kia yule mkubis yao,
akasrsambia pulisao ali katika ruwia.
155. "Nduuyo ameuaws na yule mfanye claws,"
na alipo kuzikiwa mahalipe kamiambia.
156. isubuhl niveleae, kawe Julia nduze,
ndugu wasimslkize wakafany ni ruwi.
157. Siku yangine alele akamwendea w pili
"Iduu yenu makutule!" shaitani karassambie.
158. Asubuhi akanena, "Neml naliota jana
Bclu kufarikian umbu letu kupotea."
169. fakamjibu kauli, "Idoto hiyo 1 ys keli,
iUndoto ya maahughuli, ai ndoto y kulekea.


i i f"" y y .r r: m c -a a M a' isi 3 a
. A:' : AX YX iXi : XX Y J : J ."If Y i j A H
assls w yaxsaa axyv igilitf CrS
, YY'ixi SO.fiX 3 yAHY y.HAA yAy; a: AAX
AAY*iY 65 CI- Y : J Y!-
STYX A 3. H AY AAff'i S AHfisde
t xx x m' ha ei w yx a- > : 7 ai i a a xi 9 rf
. SA Hvj ; A ay; X. YX Y AY-, A
, YYY, stx AAA.; ess ay eft wis
. ;i VJi'i YY.; j 'A '"' C 1 : ill :i Y : Y A J K
AYSX yaayIYXAA-' byydayy cv.xrX*?'
. U dr AYY A A ;I [ 3 1 3 j YY Y' CXXl 6 YI
, AAA: 3X X X 8-*' XX t X § ** J. '~A i X, HfMptk
asaa in yxxXaxXy 9&&tsmim!8
ill yx xx mbaiim^B aAxya: ixi).
.BAiXBAXYX XiXiYA "IXlXx Y.. JJflOT, iXAiX
sin,' xJ 31! yh jAibia t an^asis idijd'Ksi
, AY) A X Y to{ A:? :> As Y ; J Y BAA ;
x aw is OfiY cao?YYlr ,h x: xdljxHY :x)
, 300 Y [A A; o.0 'A £ 8 ,4 i ;A: ge f8*B A,; Y c 'A,J V


160. Beta kwa siku ya tetu kamwende miens kite
ndiye mdogo a watu nay akenda tawambia.
lt>l. "Miaikia nikuarabile, wewe 'us iwe mpole,
nduu yenu a 1if lie mauti ya kuuawa.
162. Akiuswa ni pspo, us id ha ni kwa nib a sipo,"
na mahal8 azikwapo jamii akamwambia.
16?. Asubuhi akatoka, nduze akawateka,
akewaab ia "He kika ni kw11 h ino r-uw ia.
164. Juzi waliota wwe, jana ksota mwenziww,
Leo naiai nambiziw kaina. mi A mlivyokuambia.
166. Ma leo twendeni sote, Barasisi tukamwit,11
wakamjibu kwa wot, "Bahits ji kuiroendee .
186. Barasisi twarajua ni well! muwallwe,
huwa j akamuua hays hayakulekeaV
167. Yule mdogo saghiri akawambie kibari,
"Kama hayo sitakiri ila kwenfe mwangelie
168. Mduguze wakakubali maneno yak tafili,
wakenda wakiwasili Barasisi amekaa .
169. Mkubwa wao huyule Barasisi arawambile,
"Yu hali gani muwelo meradhi kuiawondokea


, : : V 3 .: C'pf 1 ov i; £
, UOl?: . Sii/1 ei>i::.uf Joi
^ ei/iils ifs>% euha
t qMi i'lu:J ... .:. :, . ; ..'... <-..'. -i .. ., oi
it? s ma as s i i m ac 3 s 3 s {ad 3 *:.
. 61 i d i I ::: 1 a & i ,sid* x a
tpg&pftfor aa.f^ ..<-, J... .-el
. niim £ in SiSLS ssiai ^midmm m&s.
w, -S.ti 3 £ > 3 i. ai fft%m f i'0 .... tin?i ePl aft IgI
. I'-J^fx9303f i;. ij.hiV;'" :.. ij i.;.i>
, ii.lm ia 1 i iaiaausS
. sitiss -j'iSu ill 6 aeixsw esfkm
? oli %m% i ai 3 s-i 31 el : m' $ I St I
"gs^ftaomvi id&vsflat Hid etv


170. Barasisi eksjibu "Ai aduga isarabu,
mambo yaliyonis ibu mkiteke te wamble.
171. Muwele wenu mawele kunipa kwenu hukule,
ma dawa tumfanyele beta pepo akakwee.
172. Ma aalamu akatoa na jinale nikejue,
niiene kuachukua mbio akandaraa ndia.
17?. Akenda mbio mwiiuai hamwaadama sirauoni,
wakaagia bab&rini niwene knnipotes.
174. Benerida kamtaluta bahari aliyotota,
na papo wake wa kitwa jamii wakapotea."
175. Mduze kuoaa hayo Barasisi enenayo,
wakakwaagaa kilio km woi.e kamlilis.
175. Bata waklsa liliz kilio wakanyaraaz,
wakenda kupeleleza a lama walokwambiwa.
177. fakenda kuibusuri waksoaa kaburi,
na kipende oha uzari ride kimetokea.
178. Kaburi wakafukaa msiti lakamjua.
ni kweli walokiambiwa ruwiani wote pia.
179. iakaiauona thabiti aakamtoza maiti,
ana dharuba katiti ahingoni aloteadew.


oyoy ioi tr :.u OO i oe-osr;
. OOnO 'd ! ii SilXC^Xi XX. OYI:.
'oodod SiOC OUOO OOOO XOO. OOv,.,t
, wd^i scot a#ifert sxo m
t yy. aai;; aa o- x i, wsf o,
lii^jBsis iw.Hm oxoo
. O X .00 OO-O: .: :;:, .... ..,. X O:
.000x0.0 .o u ooadsm
. OOoO 'iX 1.1 "'XO SO
. O./OO., ; : J -O ; l O H,
. t'j]:. c oo il 111 0-00,0 io-
t at igcr 'jtn a t qi I i s s i Xi i 3 1 a-a .3 j 1
. axolxs esol^l^pd stymies
, io.o o 00m io, milui. ate
sioieoiYY into; ox xte&flat so
ooiooo, iJXso 00010 i-xt'ie)1
, ni s 10 w x v a xi m .3 0 0i 1 x i I f -o i a
, x J isxi 0 -i x 9 1 i i d ... 4 b&cjxo o 3
, -ioyx!-, OiJx' xiomio


180, fa kiss kuona hiyo wakalia kwa kilio,
vakamba, "Jlipo leo ndugu yetu kupotea ?n
181 lakisa lis fahsrau wekondoka hslijsau,
know end ee mua 1 imu Mares isi kites a mb i,
182, "Tialikupa nduu yetu kwa yekini roho zetu,
kanama wewe hu ratu wsls hetukudiria.
18?. Dini yako na ibadi ni dini ye ufisadi,
ni dini ya ahasidi ni dini ya uzana."
184. tfakampiga makonde neyurabsye waivonde,
wakamwambis/fwsnende kadhi spate amue."
186. Kwa ksrabe wakaratats waksrafunga kifata ,
ikam kumkokote Bars is i skalie.
186. Kwa shaka sonayo na majuto ajuteyo,
akakithiri kilio kwa edhsbu as udhis.
13?. Wakenda kumshitaki kwa kadhi mjue heki,
akazidi pata dhiki kifungo kakwendelea.
188. Ma raapango akatiwa na mku kasiaiklwa,
na ohakula akipaw hevili avikataa.
189. Kwa kaaIrani ya moyo kwa mambo yampeteyo,
na dhiki alonayo katamani kujifia.


, o 11ii. nm m 1 ! a v%i f m ui t udif .061
il*: -:of- 7. *
. i si s ii 7 I or mhn*
cb£' ;a">;. xxi: .if1'
'do j ftl {' .X ttiSs *S
7J
i&ttiha 9% ifil* iMi m o^yp. inl0"
-av £iX j. d 13 jjjX-X, ,V* 17 Li
'".mm ililsi


3 d. V. ad'ro.^'> %>%$&i 7 JO:,. 7; 7 7CB SS Sff B *f§J
...... d,
. ml^imwhM idlrfb ifrxsax a
, *wiafii mifm a ejgsaqaw H
L atom loss gy icsil'isi aX
.snips iamti^ IsldS aft.190. Tale bilisi lbs<3hi kuonske mkombodhi,
katokea ali kadhi akajs kumwamkua.
191. Akaja a kamauza kama kumsimangiza,
"Sebabu ysko naleza nami nipate yajua.
192. Kb a kwaraba nakufahamu kuwa mtu mualimu
kwa salati na aomo wall mtu mua 1 ia.
19?. Ma kiumbe mcha Mungu hafurigii gogo na pingu,
wslifsayanje mwenzangu ?" Berasiai kamwambia,
194. "Bapo kali nali mtu humuabudu Moletu,
Mali ndani ya maitu nali peke nalikaa,
195. Malikaa mimi peke niaitamani na mke,
hata sikuye nondoke kienda punde kutembee.
196. Hamuona mualimu, msoma yote ilimu,
a key a nipa aalamu nami nikampokea.
197. Basdaye tukaaali twali pamoye wtwili,
hamtunze kwa dalili hamuons afadhea.
198. Eaona kuwa walie, hamfanya niaongie,
akanipa na wasie nami nikaupokea.
199. Tena nami haletwa kijana fcfa.ays daws,
nduze kamtukua nrwituni kaniletea.


^wi id&sd. iaiiil tlcY
aaigdapittsiai ami eseEcesla a^siU Ifc.l
wi i&m cs s's tcudac*
jwaiiam >. 4m am- adsrawsi & ,-SiI
.siIsm tii 11 as met m iislaa sws
as o3,oi isgfiFtsd 0300*1 arfoa etaiaj erl Tr
t si faster ass i si s m tf ; 0 03 ssssm sli X n*
.Ui'^iqM -J 31'.::.;/.; { 1:3 £ I $S X 1fgt ,!rll
, _.i . : rji e . J:.. i I bI
3fl jL&aasJiUii mils?!
lUmiis TOBisi auieaarsK
. s sd & si 8 sit Q~m m i 11 i X a & >; a m lis ad .
, ai,Si 33 S3-: Ir-f'^ ,.?UJ>:. JSfl i SB K3 SqiaeiB
, m%ii aalelari iasa snoT
imtfivm wsvimm dsiJfefl


200. Hfttokeva ni bilisi ksnitia waeiwssi,
roho yangu ieikisi yake hamfuatia.
201. Mumule kufanya dawa kijana hateaapoa,
rairaba na kuitukua kwa bilisi kungia.
202. Kaja tena aha itani akanambia "Rwandani,
hoyo raw ana rauuni usijaja mnaza
203. Nami nikamkutuli twali pataoya wewili,
nduze wakiwaaili wakaja wfkanita.
204. faka ja kunishitaki nami nikakosa heki,
maluuni kuteleki," Barasisi ka raw arable.
206. Shaitani icamweleza, "Boyo alokuja kwanza,
na dua alokufunza ni pepo aliyekwes.
206. Ndi mimi ndiai ramoja ndi mirai nilo nikija,
hata kuu rabeja twali sute tu paraoya.
207, Alo akija kitwani nali mi mi ndirai jini,
na kusali rasa la ni ikall mirai mmo ya.
208, Dua uliyos ora.es ha ndirai ni kualiraisha,
kasidi kuturaaisha roho ipate ridhia.
209. la leo hendi ma ha 11, nadhani ndiyo ajali,
utakufa uli dhuli raauti kufikilia.


, i 2 : 1 : n: n>j Jin n n.i.d.: in RA-ncidi ,d'd
. nijnn n-ni isiifiti
t sfyqeaslaH n^sB ntnnd.n ^dnnn:
ddnrnd iaidd nn-' NkfoXies! 3x1 wtsin
. in dn a ; i d I;-- n.; -n 8 in-di ns nod n.dn .id
i 8,:.: d n'i iiinr n n : n:nd
. i ;i nn -non n II n; i d. inn n in in la 1 d
na+insnn's dnin. i d. sad? nr one in
.-isiftrf dedssils '"jf? atj,s^&lS
. d : -n n i ni 3 ,1: J ""in: in: ni n
,300000 n^nncin aied tsn:! n-nn. infiJi iiS
cqnq la ssnndodo :n 6 SH
,nioin eiin inin lbs s^cMfT indn i nin inn dd
. nq-nnn. ui ti:iin Irtha iff. lis i I sn innnili dd-ncld. dd
. n i J : II s>i in ;! mn i r nan? c
, id si d r or:i in n i : n. ; om- onrd in n did
. Hi f! h 11 joni O a 0 a Sri a i sin J:: i & i a an
,Idd ad do isadBan i ddn ihmd ml ni din
silli'ite item ilwlft ilu Annod::


210. fftwaje ukafttata ndie mbovu ya met a is ,
mathali peps kumwite, watamenije kuta ?
211. Methali mimi niaeme, nikuambie, 'Awe mume,
na ho jo awe hurume,1 nawe ukspitihi.
212. Bujui ni shaiteni minendo y msluuni ?
Huwa je kuwata dini na sale kuzimwaya ?
21?. Sala ikawe kukidhi kws billsi kukaudhi."
Ik lis he ibadhi,- Bars sis 1 kafmaiwa .
214. Bapasisi kafumwa ka rnadhambi ya kuua,
a ha ha da akilitoa akafa mwida is saa.
215. Akafa kwa kibnhnti ja kumpet mauti;
hadithi ni tamati liiwekuisha kuiambis.

21S, Mwenye katunga ishadi isimuye ni Saidi
Abdallah Masudi rii baba elomzaa.
21. Kltunga huno utenzi naliwete ni mkazi,
s ikwenda kwa utembezi ni makazi ys kukaa.
218. Na baitize jakini mis it a pi maatani,
na is hara zaidani na kuzidi na sabaa.


t svt uvcrfffi u b:: ^ . IS:
H *
. 1 i 3
3. ':' ,oxcfesptxn imm Kadi;ai$
, aijbi'iidr O .- iii HS CVC'I m
iuiJii i i'v; 0 ill i S'i 6 i/i i f-J^i *
m smi 313 s sa i ai i a 1 s a I w a
wllf mi Mfmim awMi aiec.
. Mriaciaai I ai 3 ->; ifit asj s-ii'uiM
t WW av, iamaabaa win-vz ,-ia
. S6J si;i * ,-Ov. ilJ a* 3-i £
$ :
. 'i -if. i ;:{.!?, ij-a^j ii; irj j-j. F; fvf

.assmels atfscf l& i&vm?& delI&Mt
.13:3a--': 1 M l&mip ca4 a&miiZ
. ssiaA xv j 3 3 '3: in istft^lxf 333,
t.;33 >, ja; J^ 'jleh: 1 i.j.:.. ?si.3X3t! a,, ,£:
tadaa -a-. wi iaa&i s& rssMai a;Full Text