Citation
Hadithi ya Qiyama (MS 380530a)

Material Information

Title:
Hadithi ya Qiyama (MS 380530a)
Series Title:
Knappert Collection
Alternate Title:
MS 380530a : Hadithi ya Qiyama
Publication Date:
Language:
Swahili
Physical Description:
25 leaves
Technique:
Typescript
In black type, with marks in pencil and red ink

Learning Resource Information

Intended User Roles:
Learner

Subjects

Subjects / Keywords:
Utenzi
Swahili poetry ( lcsh )
Islam ( lcsh )
Death ( lcsh )
Religious belief
Heaven ( lcsh )
Hell -- Islam ( lcsh )
Muhammad, Mtume, -632
Muḥammad, Prophet, -649 ( lcna )
Kiswahili mashairi
Uislamu
Kifo
Imani za kidini
Mbinguni
Kuzimu
ابن المهيب، محمد ابو بكر
Faith ( lcsh )
Prophet Mohammed
Genre:
Poetry (Utenzi)
Utenzi (poetic form)
Poetry ( LCTGM )
Spatial Coverage:
Africa
Afrika
Coordinates:
-6.307 x 34.854

Notes

Scope and Content:
This utenzi narrates the events of Judgement Day. After praising God and Mohammed, the author says, in stanza 11, that he has read a book (in Arabic) that told of Judgement Day. He then names the physical conditions that will characterise the time: there will be no water in the world (18); no food, sleep or rest (20); and a fierce wind will blow (22). God sends the angels on various missions. Jibril asks the earth where the grave of the prophet may be found, but the earth cannot say. So Izrafil blows his horn, and light emanates from Mohammed's grave (43). When Mohammed asks about the strange world in which he finds himself, Jibril explains that the Day of Judgement has come (55). Mohammed asks about some of his companions, and they appear (61). Mohammed's horse will not agree to be ridden until it receives a promise of the Prophet's intercession (67). The utenzi also narrates the blowing of the horn by Izrafil (75) and the gathering of human souls (82); the argument from evil souls, who do not want to be restored to their bodies because they fear torment in hell (90); Mohammed's inquiry about the whereabouts of his people (110) and his arrival at the place where they are crying out in distress (132); delivery of the scales to God and the pronouncing of judgement (136); Jibril's delivery to Malik of God's order to build a huge fire (149); the suffering of the sinners in the fire (173-192); the pleas of Abraham (193) and Jesus (195) that they be spared the fire; Mohammed's plea that all his followers be spared (204); the nature of the Swirat, the way along which all human beings must pass whether they are destined for heaven or hell (208); the delights of those who enter heaven (213); and the suffering and vain protests of those who enter hell (221). The poem concludes with a prayer. This 246-stanza manuscript does not match any manuscript described by Allen (1971) or Knappert (1967), although many sections of its narrative resemble those two published versions. It contains a curious mixture of Kiamu word forms and forms associated with the more northern dialect of Kigunya (also known as Kitikuu or Kibajuni). Stanza 88, in which 'zile' (line 1) and 'uzito' (line 3) appear with 'dha' (line 1) and 'ndha' (line 2) provides an example of this. Also in this utenzi the 'ka' tense is used somewhat unusually, to narrate events that have yet to occur. For comments on age of the poem and its composition, see Allen (1971) and Biersteker (1996).
Version Identification:
Incipit: Akhi patiyani wino, Na karatwasi mfano, Na qalamu muayano, Ilonjema kwandadikiya
General Note:
Roman script
Bibliography:
Relevant publications: Allen, J.W.T. 1971. Tendi. London: Heinemann Educational, pp. 429-485. Biersteker, Ann. 1996. Kujibizana: Questions of Language and Power in Nineteenth- and Twentieth-Century Poetry in Kiswahili. East Lansing: Michigan State University Press. Hemed Abdallah Said al-Buhry. 1945. Utendi wa Qiyama. Ed. and trans. by Roland Allen. Special supplement to Tanganyika Notes and Records. Knappert, Jan. 1967. Traditional Swahili Poetry. Leiden: E.J. Brill, pp. 243-264. Sacleux, Charles. 1939. Dictionnaire Swahili-Francais. Paris: Institut d'Ethnologie, pp. 1094-1108.
Version Identification:
In black type, with marks in pencil and red ink
General Note:
VIAF (name authority) : Muḥammad, Prophet, -649 : URI http://viaf.org/viaf/97245243

Record Information

Source Institution:
Archives and Special Collections
Holding Location:
Added automatically
Rights Management:
This item is licensed with the Creative Commons Attribution Non-Commercial License. This license lets others remix, tweak, and build upon this work non-commercially, as long as they credit the author and license their new creations under the identical terms.
Resource Identifier:
MS 380530a ( SOAS Manuscript Number )

Downloads

This item has the following downloads:


Full Text
HADITHI YA QIYAMA


(1).
HADITHI YA QIYAMA
BISMILLAHI 'RRAHMAHI 'RRAHIYM,
1. Akhi patiyani wino, Na karatwasi mfano, IfgHgstw Na qalamu muayano, Ilonjema kwandadikiya
2. Munipatiye mahali, Niketi nitajamali. Nituze yangu akili, Niwaze na kushangaa
3. Nandike ina la Mungu, Wa tangu kae na tangu, Hana kae Mola wangu, Aswili mwenyekuyuwa
4. Nandike ina la Mungu, Bismillahi watangu, Ndiye mtandika mhingu, Na nti ikatuliya.
5. Nandike Arrahmani, Mwenye kuumha duniyani, Kwa insi na majini, Na nyama wa kutambaa KUPA.
6. Nandike na Arrahiymu, Aruzuquo qaumu, Wa easa na wa kadimu, Kesho akiwaridhiya* |
Dhiumbe dhake £halaqi, Wote kawapa riziqi* Haswa hawa makhluqi, Ampao asomuyuwa
Hapa nilipokomele, Sihitaji kwenda mhele, Swifa zawetu teule, Muhammadi Mursaa# V, |
9. Swifa hizi......


(2).
9. Swifa kizi ni twiliki, Kweli hazidhibitiki, Ni laki laki lukuki, Au bali kuzidiya.
10. Swifaze nitazieta, Niwape takapo pata, Nimekwisa kutafuta, Siyaona hadithiya.
11. Kisoma sana kitabu, Penyi hadithi ajabu, Yandishiwe Kiarabu, Maana yaganeleya.
12. Had i thinal oiy ona, Tukufu yenye maana, Moyoukapenda sana, Ilikuypumbaliya.
13. Kasoma sana kitabu, Peni hadithi aj&bu, Yandishiwe Kiarabu, Maana yakaneleya.
14. Pana khabari adhwimm, Puniya itapokoma, Hiyo siku ya Qiyama, Itakapo kutuliya.
15. Paweni hadithi kitoto, Kina m&ani mazite, Kina na swifa za moto, Nayo tawahadithiya.
16. Mwando wake fahamuni, Atakapo Rrahmani, Kutuondowa duniyani, Muda wake nawambiya.
17. Alinena Abdalla, Bin Abbasi fadhwild, Radhwi-ya-Allahu taalA, Qauli alitwambiya.
18. Mwando wake fahamuni, Itakuwa duniyani, Pasi mai dhisimani, Nti imekamkiya.
19. Alipokeya qauli..**


(3*.
19 Alipokeya qauli, Na Muhaomadi Easuli, Swallallahu wa swali, Wasallimu taslima
20 Pasi na kitu chakula, Wala usiku kulala, Wala kuketi mahala, Kutanguliya kukaa
21 Pasi kunena kuteka, Pasi nge wala nyoka, Pasi na nyama kondoka. Kwa shida nyiagi kungiya.
22 Baada ya kayo Ilahi, Aka^amru rihi, Pepo isotashbihi, Ikome na kutukuwa.
23 Na pepe hiyc !fadudi, Alomshushiza Adi, Wakandoka na junudi, Wakapoteya na kuja,
24 Na pepo hiyo nikusi, Ina na kiza cheusi, Ina kivumi khalisi, Ingiyapo kuyumiya^
25. Pepe hiyo ivumapo, Dhaondoka dhiliyopo, Hapasai pasilipo, Itakapo kurukiy%
26 Hapatosaa ahafuu, Wala milima mikuu, Wala jaJaali na tuu Jamii dhitapoteya
27 Ushuhuda wa Mannani, Pepe hiye nda tufani, Somani muswahafuni, Ayati itaweleya.
28 Nasi waja pakunena, Yaa-Rahbi akfina, Peoo hiyo jamiana, Isiwe kutuvumiya. Jamiana.
Kisa M ola


4 *
29 Kisa Mola taratili, Amwambiye Jiburili, Takutuma tashili, Wende Peponi ajaa,
30 Peponi wende utwale, Taji uj e uwatele, Ha mapambo uteule, Uyenayo sailiya.
31. Uye na nguwo kabiri, Itwndikwao uzuri, Hiko kitambi cha zari, Jiburili nipatiya ISANUIKVAO
32, Nenda ukatwae taji, Na nguwo u dha dibaji, Ukampe Muhammadi. Mbele dha wote jamaa*
33 Akaondoka Jiburili, Nduye Mikaili, Mtu ni Israfiyli, Aliye tumwa kutwaa.
34 Ende Ziraili thama, Kdiye aliye kitumwa, Kwenda twaa huyo nyma, Akyanaye ngamaiya,.
35, Achenda akimtwaa, Akaya naye shujaa, Penye aridhwi samaa, Wakaketi kwa pamoya.
36 A-kisikiza Moliwa, Kwa ambalo amriwa, Ziraili katongowa, Baada ya kutimiya*
37# Kitenda hiyo kalima, Akanena Muadhwama, Jiburili kamtuma, Kayanene kwa fazaa*
38, Enenda malaikati, Ukauee-mti Wende ukauze mti, Muombezi wa umati, Ni wapi alipokuwa,
39, Jiburili katuliya39 Jiburili katuliya, Na nti ikamwambiya, Kaburi yake Nabiya, Ipo bapa na iyuwa.
40. Akamba yake Mukhtari, Muhammadi Mbashiri, Iwapi yake kaburi, Nti imenipoteya.
41* Tangu aiku ya Ilahi9 Aliyoiyeta rihi, Yalikuya na fatihi, Jgmii zikatengeya.
42. Jihurili akarudi. Konda mjibu Wahidi, Qaburi ya Muhammadi, Nti imenipoteya.
Akijibu Jiburili, Rabbi aeta gabmli, Kamwita Israfili, Kupija panda kuliya.
44. Kuipija ile auri, P le ilipo gaburi, Ikatoka nyingi nuri, Jiburili akayuwa.
45. Akaynuwa Mmaka, Qaburini akatoka, Jiburili akafika, Qaburini akaliya.
46. Na ule Israfili, Kuliyakwe Jiburili, Kaiouuza filhali, Likulizalo nambiya.
47 Jiburili kamjibu, Kwani silii muhibu, Itukiyapo hisabu, Nimuonapo Nabiya.
48 Auzapo fumwa wangu, Jiburili nduguyangu, Wawapi umati wangu, Nilipi la kumwambiya.
49 Siwatambuwi


mm % mm
49. Siwatambuwi walipo, Mahali waliyopo, Hi hayo yanilizapo, Nikumbukapo naliya.
[50. Ba^da ya hayo pulika, Qaburi ikapasuka, Muhammadi akateka, Kaburini akakaa.
51. Kat&ka yake mianga, SJaburi ikaipanga, Na kujifuta mitanga, Kitwani na jisadiya.
52. Akaketi mlangoni, Mlango wa Qaburini, Akitunda duniyani, Haoni hata Bmioya.
53. Haoni hata dalili, Mti wala majabali, K muuza Jiburili. a Mbona lhiti duniya.
54. Hini ilisiku gani. HiTino leyo kunani, Nambiyani nambiyani, Buhu ipate kutuwa.
55. Jiburili kamjibu, Yeo siku ya hisabu, Yeo siku ya thawabu, Na wenye kurajimiwa.
56. Ndiyo siku ya Qiyama, Ya ziumbe kulalama, Ndiyo siku ya lawama, Ziumbe kulaaniwa.
57a Mikono yake miwili, K&ifuta filhali, Tajiyake Mrisali, Kitwani ak&iTaa.
58. Kft^inamba Tumwa wetu. Akavaa ffumwa wetu. Akamvaa qa gjtHi --- Akamwendeya ngamiya^
58. Kajipamba Chumwa ...


X 7
58. KajlpamlE>& chumwa wetu, Akavaa kulla kitu, Akachlya n& viyatu, AehinenSa kiyongoya.
59* Akauza Muhitari, Uwapi Abubakari, Athumani na Umari, Na Sayyidina Alya.
60. Kisa kunena Mmaka, Nti ikacheehemeka, Na Swahaba w&katoka, Chumwa wakamwenendeya.
61 Baada ya hayo Easuwa, M&laika kashushiwa, N& taji wakatukuwa. Swahaba ili kuvukaa.
62. Swahaba za yule Chumwa, Wak&shushiwa na nyama, Kupanda na Maungama, Endapo kumuandamiya.
63. Basi Chumma amrils, Farasi amrukile, Akapanda Mteule, Tuu la nymma kakaa CHDMWA KZS2 NYAMA.
64. Jihurili kafatihi, Ewe nyama msitahi, Ndiye Chuawa wa Hahi, Muhammadi Mursahi.
65 Tule nyama ka$amk&, Kaamriwa hakika, Naapa kwwe Rahhuka, Haiwi kunirukiya.
66. Sikubali Sayyidi, Kunip&nda Muhammadi, Ila atwe ahadi, Kwa amhalo na-takya0
67. Na ahadi nitakayo, Nipate siku ya yee, Nepukane na mataye, Nipate yake shufaa.


mm 8 =ss
68 Kwa kwamba yeo Wahabu, Angidhiwe na ghadhwabu, Kwa wote wenyi dhunuhu, Dhiumbe walo poteya69 Akamjibu Amini, Nimekwisa kudhamini, Huna shaka kwa Mannani, Wepukene na dhawiya70j Yule buraki kajibu, Shukiya unirakibu, Ni swafi sina dhunubu, Niehekese yangu niya71 Buraki kisa akenda, Muhammadi kampandat, Na swahaba wakenda. Pambizoni mwg Nabiya72 Kaekeya Mumari si, Baiti-Limakdasi, Akawaswili upesi, Nti ikalinganiyaHabbi aliipendele, Kuona afeeie nyuma na mbele, Akachupa na dalili, Somani itaweley&74. Baada ya hayo Jalali, Kamchuma Jiburili, Amwabiye Sirafili, Apije panda fadhaa75 Sirafili kaondoka, Panda kenda kaishika, Miliyowe ikatoka, Watu ikiwamkuwa


766 11e panda hamkuwa, Enyi mwalefusiwa, Niyeo kufufullwa, Inukani nyote piya


77*. Enyi laulofcafcn&ozi, Muloketi kwa simanzi, Ni yeo siku ya jazi, Mchenda mema ya duniya. MULOWAONGOZI, 1


78 Enyi musio mifupa.78. Enyi musio mifupa,
Mulokatika mishipa,
Mio siku ya malipo,
Mema mwenyi kujaziwa.
79. Enyi muliokamili,
Muloketi kwa fifili,
Na damu ili kamili,
Teo munahitajiwa.
80. Ondokani ondokani,
Mutoke makaburini,
Murejee duniyani,
Siku imedhoadiya.
81. Nti ikisa pulika,
Iwele kuchochemtka,
Na dhiumbo wakatoka,
Jamii wakaoneya.
82. Nti ikisa tetema,
Jamii wana-adama,
Vakatoka hali njema,
Pa*isaliye mmoya0
83. Baada ya h*yo Ilahi,
Akasikusanya ruhi,
Bhenyi shida na dha rahi,
Dhote dhikakusanyika.
84. K%ziamru Mannani,
Kurejeya muilini,
Kama Yirile zamani,
Na dhiungo kutimiya^
Piya
85. PAyy mifupa na dama,
Na mato ya kuchazama,
Maguu ya kusimama,
Karna vivile awaa.
86. Zile ruhu dha thawabu,
Zikamwambiya Yaa-Habbu,
Marahaba Yaa-Wahabu,
Tgna na kufurahiya.
87. Marahaba Ja-Jalili,
Kuturejeza muili,
Twaona kwa fadhwili,
Muwili kututimiya.
88. Zile Ruhu dha *&


== 10 ==
88. Zile ruhu dha laateto,
Ambadhokwamba ndha moto,
Zikajibu kwa uzito,
Kumjibu Mola twaa.
89 Wakimwambiya Taa-Habbu,
Kwa wote wakimjibu,
Siturejeze Wahabu,
Mwilini kututiya.
90. Hatupendi ututiye,
Mwilini tusingiye,
Twakhofiya mengineye,
Mwilini kututiya.
91. Tungiyapo mwilini,
Utatutiya motoni,
Ndipo nasi tusemeni,
Mwilini kututiya.
92. Na YaawHabbu akawajibu, Zile ruhu dha ghatwabu Ki kwa nguvu na dhwarubu, Nyama itawarejeya. GHATHWABU.
93. Tawatiya mwilini, Kwa nguvu zangu Mannani, Kama vivlle zamani, Kwa ahida dhitarejeya.
94 Uhikarejeya lahamu, Na khofu ya jahannamu, Rabbi akawakirimu, Shida kuu lisosiya.
95. Wakasimika wakima, Kwa ulimi wakAsema, £asi moto ukivuma, Kwa kelele na Zawi^a.
96. Wakiona kula kwake, Tete za moto ziruke, Na malaika washuke, Ili kuwategemeya.
97. Na malaika/ adhwimu, Washukiye Isilamu, Watukuziye bahimu, Ya mawe mauifadhaa.
98. Na mapambo ya o^


11
90 Na mapambo ya Peponi,
Ya dhlthuwa aliwani,
Wakivishwa Waumini,
WarakLhu na ngamiya
99 Tena wavae li'basi,
Nguwo njema jinsi jinai,
Ndipo wapande farasi,
Wende wakiyongoya*
100* Wale watenda dhambu,
Watamke kwa ghadhw%bu,
Ya meleko Yaa-Eabbu.
Tutoweni waumiya
101 Tumeumiya kwa vugute,
Na renge renge la mo$o,
Na eili-ailya ndite,
Hatuwezi lcutukuwa*
102 Wakajibu malaika,
Shida lione na mashaka,
£§twm hayatoondoka,
Labuda kuongezewa*
103 Hazivuki siliHsili,
Na uzito wa thaq.ili,
Ila kutowa amali,
Muliyotenda ya duniya
104* Ni kama kudhaa na kuwa,
Kuzayo na kununuwa,
Yiyo itakuwa sawa,
Amali itatangaa
105. Towani zenu amali,
Muvuliwe sili-sili,
Mee muone dalili,
Dhima malizo tukuwa.
106. Hayo yakisa tendeka,
Nti iwele pasuka,
Na viumbe watatoka,
Ambao walosaliya.
107. Wakatoka walimwengu,
Kama mmeya na wingu,
Yote Mitumi ya tangu,
Wameketi kwangaliya.
108. Akenda Kiwatazamai


-12
108 Akenda kuwatazama,
Umati wa Muungama,
Wametoka hali njema,
Chumwa akiwangaliya.
109# Akisa huyo kuuza,
Chumwa wwtu kauliza,
Jiburili nakuusa,
Nikuuzalo nambiya*
110. Jiburili Mualimu,
Neleza niyafahamu,
Umati z&ngu q$umu,
Mbona wamenipoteyaf
111 Jiburili kamjibu,
Umati wako Habibu,
Wana dkila na adhabu,
Wana kiliyo waliya*
112 Umati wamekutana,
Jamii nikutayana,
Jiburili akanena,
Kwa matAzi akiliya*
113* Akiliya kwa matezi,
MitUizi mitilizi,
Kwa naki muombezi,
Jiburili akiliyac
11% Jiburili^ akasema,
Kamjibu yule Chumwa,
Moyo naona huruioa.
Kwa umaii kwamngeuaiya*
115 Kwani wale wambao,
Waloaswi Mola wao,
Na siku hini ya yao,
Ndiyo aiku ya kuliya^
116 Muhammadi kipulika*
Yule nyama akashuka,
Yule Chume kamshika,
Akampa Jiburill*
117* Thama na IsTafili,
Kgsema na Mursali,
Tawataja tashili,
Ndako Chumwa talcwitiya.
118 Jiburili takutumi


13
ll8j| Jibrill takutuma,
Hataka upande nyama,
Wende mwendo kwa Lima,
Mukatazame j amrna.
119 Kaambowa Sirafili,
fwaa taji tashili,
Umwandame Jibrili,
Hima mupate rejeya#
120 Tawatuma enendani,
Umati wangu wanani,
Au wamekhalifuni,
Hapo walipokukaa*
121 Hapo alipo Rasuli,
Ma umati walimbali.
Kenda kwake Jibrili.
Huku mtumi kiliya.
122 Euliya kwake R^suli,
Kawo umati wali mbali,
Eiliye kikakifili,
Mara mara kishoteya
123 Euliyakwe Mursali,
Mela Rabbi karatiliy
Eamuusa Jibrili,
Uwapi tumwa Nabiyaf
124 Nlelepi Muhammadi,
Nalo metiya idadi,
Jibrili karadidi,
Kamjibu Mela twaa
125 Akamjibu wahidi,
Umati wa Muhammadi,
Wakali mbali baidi,
Hali waliyokikaa
126 Akanena muadhwama,
Jibrili kamtuma,
Eamwamboya Muungama,
Umati pa kwendeya
127. Kawenendee gabihu,
Umati wake hahihu,
Ndiyo siku ya hisahu,
Jibrili kamwendeya.I38. Nabii na
-14 -
128 Eww Chumwa Muhammadi, Nichumiwe na Vadudi, Siwaangaliye mbali, Umati pakwendeya.
129 Wale umati wa Chumwa, Wana yowe na zahama, Nawe toka wende hima, Wote wakali kuliya.
130. * Wakisema kwa kelele, Kwa watoto na wazele, Alonyuma ncdmbele, Twataka kukuangaliya.
131. Tujile huku tuliko, Twatamani sura dhako, Tuyuwe umati wako, Ewe Churawa twakwambiya.
132 V Kiwendeya yule Chumwa, Umati wamesimama, Wana yowe na zahama, Na kiliyo wakiliya.
133* > Akawambiya Mannani, Arishi itukuweni, Hata alipo Amini, fia umatiye jamaa.
134, Nende ^kawahukumu, Kafiri na Isilamu, Dhwalimu na madhlumu, Jahili na aloyuwa.
135. X Ikisa kutukuliewa, Itakapo itakuwa, Kisa Sabbi kamkuwa, Mizani nahitajijra
136. X Kaletewa mizani, Akahukumu Mannani, Aliketi Ariahini. Jibrili karawambiya.
137, > J alla-wa-11a kema, Jibrili kasimame, Unipatiye mitume, Na wakaao nti piya.


= 15 =
131. Nabli na Mirsali, Nawatai.a Jibrili, Papo mbele dha Jalali, Mitumi ikatokeya.
139. Walijipamba libasi, Nguo jinsi jinsi, Wakaya na kujilisi, £wa khaufu yalokuwa.
140. Rabbi akawahukumu, Jamii Bini-Adamu, Kafiri na Islamu, Wakaondoka saa moya#
141^ Ruhu iliyolalama, Zlungo aiustge zikaungama, Kulla kiungc husema, Atendeelo sikiya.
142. Rabbi atawahisabu, Jamii wenye adhabu, Wasaiwiye thawabu, Wenyi nuru dha kuwaa.
143. Atahukumu MOliwa, Kwa kulla aliye uwa, Na kitwaehe atapowa, Alih&i kiuwawa.
144. Mtenda dhema dahari, Rabbi atampa nuri, Awe ni kama baairi, I)&k&po kujiriya.
145 o Mwenyi wema niwemawe, Na mwenyi uwe ni uwe, Ndiyo siku ya teuwe, Rabbi atakapo teuwa.
146. Ndiyo siku ya laana, Watu kufedheheyana, Ntiyosiku ya kunena, Yauisiliyeo dunayapi DUNIYA.
WTm Ndiyo siku ya hukumu, Ya halali na haramu, Ya utungu na ya tamu, Ygt&kapo dhuhuriya.
Ndiyo siku ya <


= 16#*.
148, Ndiyo siku ya taabu, Ataleope itcikuw Ndiyo siku ya adhabu, Ndiyo siku ya hisabu, Bhiuiabe kuhisabuwa.
149. Akisa hayo Jalali, Kamwambiya Jibrili, Nenda hima karatili, Kawambiye malaika.150. Hao malaka wenzetu. Wambiye wafanye moto, Wenye tata na mateto, Nimependa kuwatiya*.151. Jibrili akafika, Na wajumbe wa Rabbuka, Hapo matozi hutoka, Jibrili akiliya.152. Wale maliki motoni, Wakaulidha kunani, Nakuona na huzuni, Jibrili kamwambija153. Jibrili kwa yakini, Malaki siliye kwani, Nimetumwa na Mannani, Ufanye moto ajaa.
154. Jibrili kisa nena, Ikawa nikulizana, Kwa mayowe na huzunA, Na sikitika kwa kuwa.
155. Yule Maliki kauza, Ewe mwenzangu neleza, Yeo mbona kuna kiika kiza, Jibrili kamwambiya.
156,, Jibrili akasema, Ndiyo siku ya Qiyama, Ndiyo siku ya Nadama, Hini ya yeo sikiya.
157, Ndlyo siku ya majazi, Mola wangu kabarizi, Ndiyo siku ya simanzi, Ya watu kuiyutiya.


17 ==
Yule Mallkl kagikv Yaa-Rabbi Mola Wahabu, Amekwiaa wahisabu, Umati wake jamia. KAJIBU,
15% Jibrili akanena, Wamekwisa hisabuna, Hapana tena hapana, Awao alosaliya.
160 Maliki akadhukuri, Jibrili nikhubiri, Yuwapi Chunrwa bashiri, Na umatiwe jamia.
161 Umati wa Muhammadi, Wapo mbele dha Wadudi, Wayao tahimidl, (Shupate kulinganiya.
162 Alipopata awahihi, Maliki akafurahi, Kwa kumwambiya aswahi, Wote wakatereijieya.
163. Akenda akiteta, Ndani ya moto kipita, Kwa furaha ya umata. Watakao kuingiya.
Akenda akamukhubiri, Hpyo mkuu wa nari, Kusikiyakwe khabari, Akenda kawatungiya.
165# Akatokeya mwengine, Huyo wa kwanda ni mnene, Kasimama miguuni, Akivuma akillya.
166. Ana zitwa masrufu, Ni ashsrati alifu, Kul^a rasi muwaqifu, Makanwa alifu yuwa.
167# Kulla ulimi yuwani, Alifu wa sabini, Kulla ulimi kanwani, Huyo malaka mmoy&g


= 18
168. Klsa katoka motoni, Akauliza kunani, Liliyoko nambiyani, Nami nipato kuyuwa.
169. Kajibiwa malakka, Yeo ni siku ya ahaka, Ndiyo silpi ya BaVbuka, Aliyo kudhukuriya*
170* Malika kapa Mungu, Nami nltakayo kwangu, Nami yeyandame tangu, Nipate kwandamiya.
171. Maliki akaratili, Kwa Chumwa tashili, Kata hini tilsili, Muye nazo sahiliya. SAILIYA.
Tuye tuwatiye hawa, Watu tutakaopowa, Kisa tutawatukuwa, Motoni tukiwatiya*
173. Askari maarufu, Wakenda twaa mikufu, Minene na mirefu, Hisabuye tawambiya.
174. Alifu kumi mizani, Zaidi miya-teni, Barasila fahamuni, Wezaniwe tawambiya.
175. Mikufu hiyo iyao, Tawavisha watu hao, Iwe ni libasi yao, Dhombo dhimedho takaa.
176. Tuwaviko sili sili, Na dhimo dhiwo twawili, Wavao na sarabili, Wizani khamsu-miya.
177. Waweke kwa kusimama, Na dhiliyo na dhahams, Na majoka ya kuuma, Wengine kuwatatiya.
178. Wakinena kwa...


19
178. Wakinena kwa kel elo, ukali, Uzito wa sili sili Tumeuwona thakili, Kwa mayowe wakiliya.
179i Baada ya hayo Mannani. Kwa Kawashshiya tufani, Kawageuza launi, Sura zao kupoteya
llo Kelele zao umati, Zikaeneya swauti, Yowe la malaikati, Pamoya na Sabaniya
181 Wakayaona mateto, Na mingi singi la moto, Shida Kuona uzito, Likawa kuwashukiya RIN6I RINGI
182 Papo wakaona kiza,
Na kiwingu kikafuza,
Na mitima ikawaza.
Henda kikatuweleya
ld3a Jamii wakamkuwa,
Na kiwingu eha mvuwa,
Itushukiye afuwa,
Kwa amri ya Jaliya0
184 Likaya likawapita,
Matone yakawapata,
Na kula lalomkuta,
Akazidi kumiya
185g Matone hayo nda moto,
Wakazidi ufukuto,
Kikawazidiya feit keto,
Lisitake kurejeya
l86o Yule Malaku motoni.
Akamwendeya Mannani,
Kenda kutaka idhini,
Ya moto kuruliya.
187 Rabbi katowa amri,
Ambao waniaswiya
188 Ambao waloni-*


as 20 88
188, Ambao walonlaswi, Nenda ukawanuq_u'swi, Toto ukipija kusi, Na kivumi kendeleya.
Ukawaka na kuvuma, kama yowe na zahama, Na ruhu dhikilal ama, Hata ruhu za Nabiya^
190. Mote ukatowa yowe, Kuwavumiya aduwi, Ambao watenda mawi, Ikawa nikuwaend oy&*
191. Moto ukatowa ndimi, Ukapija na kivumi, Kulla mtu kamba ndimi, Utakae niiliya.
192, Moto uk&t&ghadhwabu, Konda kwa wenye dhunubu, Walomuaswi Wahabu, Kenenda kawarukiya.
193 Yule tumwa Burahimu, Kuonakwe Jahannamu, Akamba Mola Karimu. Yaa-Rabbi nakwamkuwa#(
194. Mimi ni Mtume wako, Tena ni kipendi chttko, Na-kuombawe uliko, Yaa-B&btl nisahiliya.
!95 Baada ya hayo yakisa, KaBgiya Mtumi Isa, Kaomba duwa akisa, Yaa-Babbi kamw&mkuwa.
196, Nakuombawe Karima, Siye Bibi Maryama, Nepuwa na Jahannama, Yaa-Saniaduaya,
19T. Baada ya hayo Amini, Musa bin Imrani, Mikono kaweka tani, Kumuomba Maulaya.
198, Yaa-Rabbi Mola ..


== 21 ==
198. ullko Yaa-Rabbi Mola tiflMtifc Ni mimi Mtumwa wake9 Tulonena matamko, Ni yeo nimekwambiya.
Simuombi Haruni, Wala baba Imrani, Nakuombawe Mannani, Yaa-Rabbi nipokeya.
20% Duwa yangu ipokele, Motoni usinitile, Nipuliya wepukile, Yaa-Rabbi ndiwe Mokewa.
201. Jamii kama walio, Mombeya fiuhu dhao, Oasisaliye awao, Nduguze kuwaombeya<,
2o2. Atasaa Muhammadi, Bin Abdillahi abudi, Sallg-llahu Jfaa-Sayyidi. Wasallimu taslima.
203 Sayyidi wa Maulana, Ni Habibi Shafiina, Nabii wa Rasulina, Muhammadi Mufadhwaa.
204. Akainuka Mtumi, Katamka kwa ulimi, Kumuomba Rahimi, Nakuomba Maulaya.
205. Simuombei Fatuma, Wala Baba wala Mama, Wala Mzee Halima, Wala Khadija raahwiya
2060 Siwaombei dhuriya, Waume na wake piya, Nawombeya umatiya, Kwani wote wameshangaa.
207. Siyombei Ruhu yangu, Kwa kukaa pekeyangu, Naomba umati wangu, Kwa wote nawaombeya^
208. Baada ya hayo...e


== 22 ==
208. Baada ya hayo kukoma, Akaamru Karima, Swiratwa Mustaqima, Hayo tawahadithiya.
209. Hiyo Swiratwa ndefu, Nyaka thalatha alifu, Mapana ndiyo dhwaAfu, Kama unyee mmoya MAPANA.
210. Nyaka alifu kungiya, Na alifu kushukiya, Na alifu kwendoleya, Swifa zake nawambiya.
211. Na Ndiyo hiyo hhatwari, Na ghadhwabu za Jabb&ri, Wapita wenye khiyari, Kama umeme sikiya
212. Kama umeme kumeta, Wotakapo kupapata, Hiye ndiya ya Swaratwa, Wakisa kuipitiya.
Rabbi atawwkirimu, Awafanyie karamu, Na kulla chema cha tamu, Wale wakihadithiya..
214. Kiaa wavae uzuri, Kwa libasi dha h&riri, Na sura dhitoke nuri, Pasiwe mliya ngowa.
215., Wana na pete dhandani, Na huliya alwani, Basi wangiyw peponi, Kulla jinsi kungiya.
216. Wengine wapende nycon&i Na swifa za kujisema, Kwa thawabu na rehema, Walizo kuzitukuwa.
217. Wakisa ngiya pepeni, Waliyuu dhiungonl, Waseme ya duniyani, Mami>o yalowapitiya.
208. Wastarehe Peponi#|


== 23 ==
248. Wastarehe Peponl, Tangiye maghorofani, Taone Har-l-yni, Wake wasiyo udhxya.
249. Kwa wote waendeyane, Zete hadithi wanene, _v. Na wahiai wahieane, (Tabiahi wahiahane Na lcusahau duniya.
220. Hawana ndaa ya kula, Hawana lciu aswila, Hawauawi na mahala, Haradhwi kuwangiliya.
224. Tarudi nyuma nawata, Kuwakhuhiri awiratwa, Hali iliyo aatata, Na mangine tawamhiya.
222. Na ndiya hiyo ni kiza, Tena itawapotesa, Tatelesa yateleaa, Hali iliyo kukaa.
223. Ndiya hiye nda Swiratwa, Tenyi thima watapita, Kama umeme kumeta, .... ^^ Au toudi kudhidiya.
224. Na wenyi mtooTU amali, Tatamwamtoiya Jalali, Mtoona ndiya ni twawili, Ndiyo ndiya gani hiya.
225. Atawamtoiya Hannani, Hdlya hiyo nda Hotoni, Takmwaahika dhandani, Ilikuwa piaa ndiya.
226. Talipo papo Hotoni, Kauza mtu kunani, Hamna nuru usoni, fala ulimi kutaya..
227? Jtoiani enyi dhiumtoe, Muliyao kama ngomtoe, Msi na kumeya pembe, Takajitou wjtote piya.
228. Twalikuwa duiyani....


- 24 -
228. Tulikuwa duniyaal, Tukisoraa Qur1ani, Tukifunga Ramadhani, 11a tukawata moya,
229. Tukawata kudhukuri, Muhammadi Mukhtari, Ikatuzinga dahari, Ghururi zikatungiya.
220. Tule Malaka motoni, Kawauza namhiyani, Hamuyuwi Qur'ani, Yakwamba ndake Nabiya.
231, Ewani kaaahau tumwa, Muhammadi mukarama, Aliyoyuwa neema, Na pepo zote jamia.
232. Euaikiya wafiaidi, Iaimu ya Muhammadi, Ndimi dhae dhikanadi, Isiffiu kuwanadiya.
232. Baai wapande milima, Swiratwa mustaqima, Vasio amali jwaa.njema, Wende wakaadhibuwa.
234. Mwenye amali kahihi, Nyoyo hazina farihi, Nikelele na swiyahi, Na wengine waklliya.
235. Makelele na zaoiyo, Na mayuto na matayo, Hawanyamai kiliye, Ewa matungu wakiliyaA
236. Wakilizanya kwa kweli, VakLdhukuri Jalali, Rabbi usiye badali, Ndiwe pweke tv akuyuwa.
237. Teo tumekuswadikl, Euwa ni Mola wa haki, Tendolee kulla dhwiki, Eifayani wa-nihaya.
238. Tutowe katika


== 25 ==
24 238 Tutowe katika Nari, Tumekiri tumekiri, Niwewe Mola Jabbari, Hako mwangine katwaa.
239. Na Muhammadi ni mtumwa, Ni kweli aliyosema, Tungawata kuyanfama, Yeo tumeiyutiya.
240. Atawajibu Mannani, Nyamaani nyamaani, Yeo hufaliya n'ni, Nibure kuiyutiya.
241. Nyamaani muao haya, Mangi nalowatendeya, Mukazidi kupoteya, Mukaandama jahaa.
242, Mukaitiya kiburi, Mukamuwiza Ba-shiri, Majaza yenu ni nari, Lingine halitokuwa
243. Sitaki yeo sitaki, Nyamaani wanafiki, Tawaenya kulla dhwiki, Muzidi kuiyutiya.
244. Basi kafunge milango, Wawate ndani warongo, Chakula ohao mashingo, Mai yao ni wasaa.
245* Ilahi Mola Karima, Twegeshe kwa kula mema, Tumfuwate Hashima, Maneno alotwambiyaa
246. Sote tungiye twaani, Ya Mola wotu Mannani. Twandama yalo dhuwoni, Tusikhalifu shariya.
M W I S H 0


Full Text

PAGE 1

-----------------------:::::: ( HADITHI YA QIYAMA ) ====---4 -1 I

PAGE 2

( l). -=_:::= ( HADITHI YA QIYAilA >::=::: BISMILLAHI I RRAHMANI I RRAHIYli. Akhi patiyani wino, Na karatwasi m:fano, ...... Na qalamu m:u.ayano Ilonjema kwandadikiya. 2 Munipatiye mahali, Niketi nitajamalil Ni tuze yangu akil Niwase na lwshallgaa. 3 Nandike ina la Mungu, Wa tangu kae na tangu, Hana kae Mola wangu, .lswili mwenyeku$Uwa 4 Nandike 1na la llunp, Bisaillahi watangu, Ndiye mtandika mbiDBU, 5 Ha nti ikatuliya. Nan4ike .lrrahmani, Kwenye duniyani, Kwa inarJii"""'iaj ini Na nyama wa ku.tambaa. 6 lian4ike na .lrrah11J1U 1 .Aru.suquo qaWil.l Wa AB& na wa kadiml, Xeaho akiwaridhiya. 7. Dhiwabe dhake Ehalaqi, wote riziqil Haa hawa makhluq 8 Alllpao aaoauyuwa. Hapa Dilipokoaele, Sihitaji lareada mbele, SWifa sawetu teule, llnhammadi lluraaa. 9 Swifa hizi

PAGE 3

(2). 94 Swifa .b.izi n1 twiliki, Kweli hazidhibitiki, Ni laki laki luku.ld., Au bali kuzidiya. 1 0 SWifaze nitazieta, Niwape takapo pata, Nimekwisa kutafuta, Siyaona hadithiya. 11. Kisoma sana kitabu, Penyi hadithi ajabu, Yandishiwe Kiarabu, lVlaana ya,Janel eya. 12. Ha4ithinaloiyona, Tukufu yenye maana, MoyoUkapen4a aana, I11kuypumbaliya. 13. Kaaoma aana k1 talN, Peni ha41th1 ajabu, Kiarabu, 15. 17. Maana yak&nel eya. Pana khabari adhwima, Duniya itapokoma, Hiyo aiku ya Qiy&ll& -bh Itakapo Paweni hadithi kitoto, nna maan1 mazito' Kina na awi:t'a za moto, N&o tawaha41 thiya. Kwanto wake :t'ah&IIIW1i., A tak&pe Rrahman1, Kutuoadowa duniyani, Muda wake nawambiya. Alinena Abda11a, Bin Abbasi :t'adhwila, Radhwi-ya-Allahu taala, Qauli alitwambiya. lbrando wake :t'ah&IIIW1i., It&kuwa 4uniyan1, Pasi ma1 4hia1Jaani Nti imekamkiya. 19. Alipokeya qauli

PAGE 4

-19. Alipokoya Na Muhamma41 RaiNli, SWal.1allahu wa swa11, Wasallimu taalima 20 Pasi na k1 tu ohaku.la 1 Wala uaiku kulala, W ala kuk:eti mahal.a, Kutangul.iy a kuk:aa. Paai Paai Pasi kunena kuteka1 1188 wala :nyoka, na :nyama kondoka Kwa shiia nY!n&i :Be.da ya aayo Ilal'li. 1 rihi P opo iaota8hblh11 Ikome na kutukuwa 23. Na pepe hiy( 'adud11 Alomah.u8hiza Adi, 25. 28. Wakandoka na j1Ulud1, Waka:potoya na klqa, Na popo hiyo nikue11 Ina na kiza chousi 1 Iaa ld'YIUii khaliai, ku'YIUiiy Po:po h1yo 1 'YUll&po, Dhaoa4oka dh111yopo1 Hapaaai pasiltpo1 Itakapo kllrukiy--. Hapatoaaa llha:Cuu, Wala ail.illa :.iku.u1 Wala Jual.i na tuu Jam11 dhitapotoya Baa1 waJa pakunena1 Yaa-Rabbi ak:fina1 Popo ldyo JIIIIADa, Isiwe kutuvumiya. JUiiana K i Kola 29. sa

PAGE 5

Kiaa Mola taratili, Amwambiye Jiburili, taahili, Wende Peponi ajaa, Peponi wende utwale, Taji uje uwatele, Na mapambo uteule, Uyenayo aailiya. U;ye na nguwo kabiri, It.adikwao uzuri, Hiko k1 tambi cha zari, Jiburili nipati;ya. 320 Nen4a ukatwae taji, Na nguwo aa iha dibaji, Ukampe )fubammad i 1 Kbele ana wote jamaa. 33. Akaondoka Jiburili, Nduye Kikaili, Ktu ni Iara:fiyli, .Uiye tumwa l34 Elltle liraili thama, Bdiye aliye k1 tumwa, Kwenda twaa huyo nyma, Akyanaye n&aaaiya. 35.. Achenda Uimtwaa, Akaya naye ahujaa, Pa;ye aridhwi aamaa, Wakaketi kwa paaoy-. 36. A-kiaikiza Koliwa, l:wa aaDalo amriwa, Ziraili katoD&owa, Baada ya kutiaiya. 37. Kitenia hiyo kalima, Akaneaa llua4hwama, .J11Nr111 kallltuma, Kayanene kwa fazaao Ellenda malaikati, UBM .. Mi Wen4e uk&\lse ati, MMoa8ez1 wa N i wapi alipokuw -t 39. .Jibur111 kaWl.iya.

PAGE 6

41. 42. X 45. 47 ., Jiburili N a nti ikamwambiya Kaburi yake Nabiya, Ipo hapa na iyuwa. Akamba yake Mu.khtari, M ubammadi Mbaahiri, Iwapi yake kaburi, Nti imenipoteya. TaJl8U aiku ya Ilahi, yoiyeta rihi, Y alikuya na f atihi, J&aii zikatengey Jiburili akarudi Kenda mJibu Wahich, Qaburi ya Muhammad1 Nt1 1men1poteya. Ald.Jibu .Tillurili Rabbi aeta qabal!, Kaaw1 ta I araf111, XMpiJa panda kaliy KuipiJa ile auri, P8le ilipo qaburi, I.ateka Jcyin&i nuri, .Tiburlli akayuwa. .lkayDUW& Jfmaka QaburiDi akatoka, .Tibur111 aka:tik&, Qaburini akaliy Na ule Iarafili, Kuliyalllre .Tillur111, xa-usa filhal1, Likulisalo aambiya. .Tiburili kamjibu, IJnul1 111111 .wu. bu' Ituk17ape hiean, Xabiya0 4usapo !Umwa wangu .Tiburili ndUCUYangu, Wawapi wmat i wangu :Jilipi la ltwlllraabiya. 49. Siwataabuwi

PAGE 7

=6 49. Siwatambuwi walipo, Mahali waliyopo, Ni hayo yanilizapo, Nik>..llllbukapo naliya0 51. 52. 53. 54. Baada ya hayo pulika, Qaburi ikapaauka, .lluh8JIIIII&d1 aka toka, Kaburini akakaa. KaUka yake mianga, laburi ikaipaJl&a, Na mitanga, K1 twani na wa Qabllrini, Ald.1ilmda duniy&Di, Haoni hata mmoya. H..OJU. hata dal.111, llli wal.a X: llll'llZ& Jiburilip 8 Mbona 1h1v1 duniya. Hini Hi Tino leyo -, Naabiyaai naab1y&D1 Ruhu ipate kutuwa. 55. J1bur111 kamjibu, Yoo aiku y a hiaalN, Yoo aiku ya thawabu, Na w.aye kurajimiwa. 56. Ndiyo aiku ya Q1yama1 Ya ziwabe kulal.ama, Ndiyo aiku ya 7-1-oe kulaaniwa. 57 JlikOAO yake aiwili r Kaihta :tilhali, Jlriaal.i, K1 twani akai Taa. '"-:.. ngaoiy / 58. Kajipaaba ChWDJr& ;. .. 59. A.kROBR Jluk.b.ter1ae

PAGE 8

I = 7 === 58. Kajipamba chumwa wetu, Akavaa ku.lla ld tu, Akachiya na viyatu, Achinonda ldyongoya. 59. Akauza lluh1tar1, Uwap1 Abubakar1, Athumani na Umar1, Na Sayyidina Alya. Kiaa kunena llmaka, :Nti ikachochemaka, :Na SWahaba wakatoka, wakamwenendoya. 61. :Baa4a ya hayo Rasuwa, Jlalaika kaahuahiwa, Na taji wakatukuwa1 SWahaba ui kuvuk 62. SWaha'ba sa yulo OhlUIDra, Wakasaualaiwa D& ny8111B., ICilpaaia na Enflapo k:u.mlandamiya. 64. .Ti'bur111 Ewo nyUI& ao1 tah1, Ndiyo Ca-..a wa Ilahi, Xubmmed i lluraahi. 65. Yul.o DJ'UI& :Iaulriwa haldka, Naapa kwao Rabbuka, Ra1w1 kunirukiya 660 Sikubali Sayyidi, limipanta Jlnba-.,1, Ila atwo abdi, ba aabalo na-tald.yao 67 Ba aha41 n1 'kka,yo, Xipato aiku ya yoo, liepukano na .. tqo, liipato yake shu:faa. 68o Kwa kwamba

PAGE 9

... 8 == 68 Kwa k:wamba y eo WBhabu, Ang14hiwe na ghadhwabu, Kwa wote wenyi dhunubu, Dhiumbe walo poteya. 69. Akamjilnl Amini, Nimek:wiaa kudhamini, Huna ahaka k:wa llannani, Wepukane na dhawiya. 70. Yule bRraki kajibu, Shuld.ya uniraki bu, Ni a:ti aina dhunubu Nichekese yangu niya. 71. Burak1 kiaa akenda, lluh&lllll&41 kampan4', Na ahaba wakanda1 Pam.bizonl. mwft Nabiya 72. Xaokeya Kumar iai, .Akawal1 upea1, ikalinganiya. 73. Rabbi aliipendelo, KUOJl& na mbel.o Akachupa na 4al1li1 Somani 74. .Baaia ya hayo .Talali, Kall.cllUJI& J1 b .u-111, Aawabiye Sira:t1l1, panda fadhaao 75. Sira:t1l1 kaondok&1 Paala kenda kaiah1ka, Jl111yowo latu ikiwamkuwa. 76o Ile pania haakuwa Ellyi mwalofuaiwa, Biyeo kufufuliwa, Inukan1 nyote piya. 77 EDT1 n yeo aikU ya jazi, Kchenda mema ya duniya JlULQ-WAOBGOZI, 78. Enyi l!IUBiO lllifupa:

PAGE 10

-= 9 == 78. Eny1 musio m1ah1pa1 Ndio aiku ya malipo, Mema mwenyi kujaziwa 79 Enyi muliokamili kwa t1ti111 Na damu 111 kamili, Yeo munahitajiwa. ao. Ond.oklmi end.okani' Mutoke makaburini, Kurejee duniyani, Siku 8l.. NU ikisa pulika1 Iwe1e kuohechemeka1 Na d.hiumbe wakatoka, Jamii wakaeneya. 82. Nti ikiaa tetema, Jaai.i hali njema, Paaiaaliye mmoyao 83. Baad.a 7& Atl.YO nahi t Akaaikuaanya ruh11 87. 88. Dhenyi ah14a na clha rah11 Dhote dldkakusanyika Kamru Jlannan1, XQrejeya .uil.in11 Xaaa T1 Til.e samald 1 Na dhiuco ku'tim.iy Piya lli:tupa na dama, lla -t ya Jlacuu ya lmaimaaa1 Kama vivile awaa. Zil. e ruhu Alla "thawa bu, Zikamwaabiya Yaa-Rabbu, Karahaba Yaa-Wahabu, Tpa na 88. Zil.e Ruhu dha

PAGE 11

.... 1o .... 88. Zile ruhu dha mateto, Ambadhokwam'ba ndha moto, Zikajibu kwa uzito, Kumjibu Mola twaa0 89. Wakim.ambiya Yaa-R abbu, Kwa wwte wakimjibu, Siturejeze W aha'bu, Mwilini kututiya. 90. ututiye, Jlwil tusingi;ye, TWakhofiya mengineye, Mwilin1 kututi;ya. 91. fuqiyapo JllWilini, r--.._ Utatuti;ya motoni, Hdipo nan tuaemeni, Mw1l1ni kututiya. 92. Ha Yaaeia'b'bu akawajibu, Zile ruhu dha gh&twabu, GiLU'H'f.AllU, 51 kwa Jl&UVU na cllawarubu, H yama itawarejeya. 93. fawatiya .. 111n1, ba Jl&UVU SBJl&U llannani t Kaaa vivile samani, Kwa ahiaa dhitarejeya. ,--94 Dhikarejeya lahBIIU, Jlla kho:tu ;ya jahannamu Ra.bi akawakirimu, Shida kuu liaoaiya. 95. Wakaaimika wald.llla i:wa ulimi :Baai aoto uki Kwa kel e na Zawi;ja. 96. WakiODa kula kwake, Tete sa moto ziruke, Ba aal.aika waahuke, Ili _, 97. Jlla :malaika,i adhlrimu 'fashulci.ye Isilamu, Watv.kuzi;ye bahilllu ra mawe III&Illfadhaa. 9 8 Na mapaabo ya

PAGE 12

)o 91. 99. lOO 101. 102. ...,. 11 ... Na mapambo ya Peponi, Y a clh1 thuwa aliwani, Wakivillhwa Waumini, Warakibu n a ngamiya. Tena wavae libaa1, Npwo njema j1na1 jinai, Nclipo wapande faras1, Wende wakiyongoya. Wale watenda dham.bu, Watamke kwa gh8Ah-.._bu Ya melell:o Yaa-Rabbllr Tutoweni Twaewaiya kwa TUglol Na renge la N a a111-ailya ndite, Hatuwezi Wak&Ji llu malaika, Shicla lione na aasha.ka., Katwa hayatooncloka, Labacla kuongesewa 103. HaziTUki Xa usito wa na lmtowa &mal:, Muliyotenda ya 104. Bi kama ll:wihaa na kuwa IWzayo na lamunuwa, Yiyo 1 takuwa aawa Amali ilia "tal:l4taa. 105. !ow&Di senu amali, Jlu'YUl.iwe 11111-aili, :J'ee 1111one a1111, 106. 107. Dh:ima llalizo tull:uwa. Hayo yaldaa tendell:a, ti iwele pasull:a, "ri-b wata"Coka, Alabao waloaaliya. 1Jakatoka walimwengu, _.ya na wincu, Yote ya tangu, 1Jamell:et i k:wangaliya 108. Akancla

PAGE 13

108 Akenda wa .Muu.ngama, Wametoka hali njema, Chumwa akiwangaliya. 109. Akisa huyo kuuza, Chumwa -tl.t .kauliza, JibYXili nakuuza, Nikuuzalo nambiya. 110. J1buril1 Mualimu, Neleza niyafahamu Umati zangu wamenipoteya 111. Jiburili kamjibu, U:maU wako Habibu, Wana dhila na adhabl.l, Wana kiliyo waliy ll2. UmaU wameku'tan&, .Tamii nikutayana, J1bur111 akanena, lllct, ll5. ll.6o Kwa matzi aki11ya. Akiliya kwa matozi, Mitilisi mitilizi, nak1 muombezi, Jiburili akiliya akasema, Kamjibu. yule Chumwa, Mo;yo naona hurwna K'wa umah kwaiiiilgamiya. Kwani wale wambao Waloaswi .Mo1a wao, Ha hini ya yeo, Hdiyo aiku ya kuliy 1tUhammad1 kipul.ika. Yllle JQ"&ma akaahuk&, Yllle Chum kamah:l.ka, Akampa Ji bur111. ll7 0 fhama nil I IBi:afili, JCtna Mw.rsali, Tawataja taahlli, Ndako Chumwa takwiti;ya. 118. .Ji bur111 taku tuml

PAGE 14

..,., 1.3.-\ 11 Jibrili takutuma, Nataka upande nyama, Wende mwendo kwa hima, Kukatazam.e ja.maa. 119. Kaam.bowa Sirafili, Twaa taji tashili, Umrandame J i brili 1 Hi.JIIa mupate. rej eya 120. Tawatuma enendani1 Umat1 wangu wanani A\1. wamekhalifUlid 1 Hapo walipokukaa. 121. Hapo alipo Rasul11 /""'. Ba l!JII&U walimbali :l. 1r.1rake H\lk\1. m kiliya. 122. JOUiya kwake R sul11 Xawo \laati walf mbali, :D.liye kikaldi'Ui, ll&r'-. mara kiahoteya. 12l. JOUiyakWe ldursal11 Ke1a Rabbi karat1111 Kamuuu J1bril11 Uwapi 'Wmwa Xabiya 124 Nl el epi lfllhe.mma.di Halo aetiya 1dad11 Jibrili karadidil Xam;jiba lle1a 125. .lkaa;j ilN. wal.ddi v-u wa lluhammadi, 1Jakal1 lll.bali ba1ci11 Hali waliyoldkaa!.. 126. .lkanena IIWI.dhwama J1br111 kaatuma, x:...-boya Jlu.w:l&aaa, Vmati pa kwendeya. 127. Bawenendee Habib\1. u-u wake habib\1. di;ro aik.U ya h1aabu1 J1bril1 U..ende;r-.. 128 ... CHUilW.l 0

PAGE 15

J -14-128 Eww Chumwa Kubsmmadi Nichumiwe na Wadudi Siwaangaliye mbali, Umati pakwendeya. 129. Wale umati wa Chumwa, Wana y-owe na zahama Nawe toka wende hima1 Wote 130. Wakia8ma kwa kelele, Kwa watoto na wazele, Alonyuma nal m bel e Twataka !&l.j 11 e huku. tul.iko Twat amani sura dhako Tu.yuwe umati wako Ewe Chumwa twakwaabiya. 133. )( 135. l( Kiwendeya yule Chumwa, Umati wamesimama, Wana yowe na sahama, Na klliyo wakiliya Akawambiya .Mannani, Ariahi 1tuku.wen11 Hata alipo umatiye jamaa. Nende jilkawahukwllu., Ka:firi na Isllaau1 Dhwalimu na madhl.um11 Jahlli na alo;tuwa. Ikiaa kutukul.i.-a, Itakapo 1 takuwa, Kiaa Rabb i kamkuwa1 Mizani nah1 tajia. 136. Kal.etewa misani, Akahukulw llannani, JU.iket1 Ari shiJU. Jibrili 137. >: Jalla-wa-lla kemi J1br111 kasimame, OnipaUye la wakaao nti piya. 1)8. Rab11 na

PAGE 16

-15131. Nab 11 na Mirsali, Nawa'$a L a Jibrili, Papo mbele dha Jalali, Mitumi i katokeya. 139. Walijipamba 1ibasi, Nguo jinsi jinsi, Wakaya na kuji1iai, Kwa khau:fu yalokuwa. 110. Rabbi akawahukumu, Jamii Bini-damu, Kaf'iri na I slwnu, Wakaond oka saa moyn. 141. Ruhu iliyo1alama, Ziungo z ikal.Ul&e.ma, K -.J.la k11Wgc husem a Atendeel.o sikiya. 142. Rabbi J&lllii wenye Waaiwiye thawabu., Wenyi nuru dha 143. M01iwa, X.a kul1a aliye Na ldtwaahe ata:powa, Alihai 144. Jlten4a db ... dahari, Rabbi ataapa 4we n1 kama badiri, I'akapo k:ujiriya. 145o M wenyi wema niwemawe, Na m.enyi ni uwe, H4iyo siku ya teuwe, Rab b i atakapo teuwa. B41yo siku ya 1aana, Wa 'h. lDI:t eclhahey&D&, B41yos1k:u ya kunena, Yapiailiyeo 4wniJ!I' 14'l BUyo a1ku. ya hukwial, Ya halali na haraaa, Ya na ya Yttakapo DUIIIYA. 148. Ndiyo siku ya

PAGE 17

148. 150. 151. 15:!. == 16.=. Ndiyo aiku ya ..... ...., ........ Ndiyo siku ya adhabu, Ndiy o siku hisabu, DhiUlllbe kuhisa buwa0 Akiaa hayo Jalali Kamwambiya Jibri1i, Nend a hima karatili, K a wamtiy e malaika0 Hao malaka wenzetu Wambiye waf'anye moto Wenye tata na mateto, N imependa Jibri11 akafika, Na wajumbe wa Rabbuka, Hapo matozi hutoka, Jibrili akiliya. Wale maliki motoni, Waka 'llliclhe. kunan1, Nakuo :na na huzuni, Ji brili kamwambi;)a 153. J1br111 kwa yakini1 Malaki siliye kwani, I.U.ae'tllmwa na Jlannani Ufanye moto ajaa. 154. Jibrili kisa nena, Ikawa nikulizana, Xwa ma30We na Na eiki tika kwa kuwa. 155. Yule Kaliki kausa, Eire mwens&Jl&ll naleza, Tee mbona kuna ...._ kisa, Jibr111 kamwambiya. 156. J1br111 akasama, Bdiyo eiku ya Qiyama, B41yo aiku ya Xadama, Hini ya yeo sikiy 157. ya ei:MM .. ;aei:, Ndiyo siku ya majazi, Kola wangu kabarisi, Ndiyo siku ya simanzi, Ya watu kuiyutiya. 153. Yule Kal1k1

PAGE 18

151. 159 160. -17 == Yule Malik1 kaV*i19, Yaa-Rabbi Mola Amekwisa w a hisa bu Umat i w a k e jamia. Jibrili akanena Wamekwiaa hisa bun a H apana tena hapana Awao alo aaliya. Jfaliki akadhuku.ri J 1bri1i nikhubiri, Yuwapi Chumwa bashiri, N a um.at iwe Umati w a M uhamma d i Wapo mbe1e dha W adudi, Wayao tahimidi, kulinganiya 162. 1 63. 165. .Al.ipopata -ahilai, Jfalild akai'urah1 Kwa lauawambiya aswahi, Wote Akenda aki teta, Rdani ya moto kipita, Kwa furaha ya 1 Watakao Akenda akamnkhubiri, BIJo :mkuu wa nari, l.'a aikiyakwe khabari, Akenda Akatokeya mwengine Huyo wa kwan4a ni lllllene Ke_aillama JD.ip1ani Ald. TUma ak111ya. 166. Ana zitwa masrutu, Ni aaharati al.itu, Xulla raai muwaqifu 167. llakanwa al.ifu yuwa. XDll.a ulimi yuwani .Al.ifu wa sab 'ini, bll.a ulillli kanwani, Huyo malaka mm.oye.. 158. K i n katoka

PAGE 19

18 --168. Kisa katoka motoni, Akauliza kunani, L 111yoko namb1yan11 Nami n ipate kuyuwa0 169. XaJ1b1wa malatka, Yeo ni sib ya shaka1 Ndiyo ya Rabbuka, Aliyo klldhukuriya 170. Malika kapa Mungu, liami ni.takayo kwang1.11 N ami yeyandame tangu, 171. Nipate kwandamiya, Malild akaratlli }(wa Chumwa tashiii, Ka ta h1n1 JliJ. lli M uye nazo a#ll1Y&e 172. twwatiye hawa, tutakaopowa, Kiaa Motoni 17 3. Aakari maaru:tu, Wakenda twaa mi.k:ufu, Mi.nene na miref1l, Hisabuye 'Sawambiya. 174. Alifu kum1 aizani, Za141 miya-ten11 l'araeila fal:lamm1 1 Wesaniwe tawam81ya. 175. lllilmfu hiyo iyao 1 Tawaviaha hao, !we n1 11bas1 yao1 SAIL m. DhOJRbo dhilaedho 176. Twwavike 1 Na dhimo dhiwe twawi11, WaT&e na aarabll11 Wizani khama1l-miya. 177. Waweke kwa kuimama, Ka 4hlliyo na dhahams, lia -Jolt& ya kuuma, Wengine 178. Wakinena kwa

PAGE 20

19 za 178. Wakinena kwa ....... ukali, Uzito wa sili aili Tumeuwona thakili, Kwa mayowe 179. :Baada ya hayo Jlannani, KWe Kawashshiya tufani, Kawageuza launi, Sura zao kupoteya ltD. Kelele zao umati, Zikaeneya swauti, Yowe la malaikati, 181.. 185 186o 187. Pamoya na iabaniya. Wakayaona mateto, Na mo1;o, uzito, Likawa kuwashukiya., Pat" wMaeaa ll6:a, Papo wakaona kiza, Na kiwin&u kikafuza, Na mi tima ikawaz!ilr_ HeDia k1katuweloya. Jaaii wakaaku.wa, Na k1win&u cha annra, Ituahuki,ye afuwa Kwa amri ya Jaliya. Likaa 11kawap11;a, Matone yakawapata, Jia kula laloJU:uta, Akazid1 kumiya. Matone hayo nda moto, Wakaz1d1 ufukuto, Kik&Waz1d1ya ..._ keto, Lieitake Yul.e Jlalaku motonip Mannan1 Kenda ku taka 1dh1ni, Ya moto k:ur\111y Rabbi katowa aari, Ambao waniaawiya. 188. Ambao waloni-

PAGE 21

20 .... Ambao waloniaswi, Kenda ukawanuquswi, Toto ukipija kusi, na kiv'Ullli kendE>leya. 189. Ukawaka na kuvuma, K ama yowe na zahama, Na ruhu dhikilalama, 190. 192. 193. 194. 197. Hata ruhu za Nabiya. Moto ukatowa yowe Kuwavumi y a aduwi, Ambao w atenda mawi Ikawa nikuwaendeya Keto ukatowa ndimi, Ukapi;ja na kivumi, m tu kall.ba ndimi, U takae Moto Ukataahadhwabu Kencla kwa wenye dhunubu, Walomuaswi Wahaou, Kenenda kawarukiya. tumwa Burahimu 1 Kuo nakwe Jahannamu, Akall.ba M ola Karimu Yaa-Rabb! M1m1 ni M tvme wako1 Tena ni kipendi ohako, Na-kuombawe Y aa-Ragt i Baada ya hayo yakisa, Kangiya M twD.i In, Kaomba duwa aldaa, Yaa -Rabbi kamwamkuwa. Naku ombawe Karima1 Siye Bibi Maryama, Nepuwa na Jahannama, Yaa -SBl!liad uaye.. Baada ya hayo Amini, Muaa bin blrani, Mikono kaweka tani, Kumuomba 198. Yaa-Rabbi Kola

PAGE 22

-21-uliko 1 98 Yaa-Rabbi Mola N i mimi 11tumwa w ako Tulonena matamko N i y eo n i m ekwambiya. 199 Haruni, Wala baba Imrani N akuo mbawe Mannani, Yaa-Rabb i nipokeya 200. Dawa yangu ipokele, usinitile, Nipuliya wepukile, Yaa-Rab b i ndiw e Xekawa. 201. Jamii kama walio, Kombeya luhu 4hao, Oasiaaliye awao Nduguze kuwaombeya. 2o2. Ataaaa Muhammadi, Bin Abdillahi abu41, s&ll'-llahu Jaa-Sayyid11 Waaallimll 203. Seyyidi wa Maulana, :11 Ha81b1 Shdiina, Babii wa Rasulina, Muhammadi 204. .\kainuka M twa:i, Katamka kwa ulia:l, lOIDmom'ba Rahimi Nakuomba Jlaulaya. 205. Simuombei Wala hba wala llama, Wala bee Halima, Wala KhadiJa radhwi.ya. 206o S1waombe1 dhuriya, Wa\lllle na wake piya, Bawombe;ra umatiya, Kwani wote wameshan&aa. 207. Siyombei Ruhu yangu X.a kukaa pekeyangu, Ba .. ba .... u w&D'l, Kwa wote 208. Baada ya hayo

PAGE 23

== 22 208, Baa4a ya hayo IUkoma, 209. Akaamru Karima Swiratwa Mustaqtma, Hayo tawahadi thiya, Hiyo Swiratwa ndefu, Nyak: a thalatha alifu, !!!l!!!!! ndiyo dhwdfu, v.nyee mm.oya, 210, Nyaka alifu kungiya, Na alif'u kuahukiya, Na alif'u kwen4eleya, 2ll. 212. D 214. 215. 216. 217. Swifa zake nawambiya. h d.iyo hiyo Jdlatwar1 Na &hadhwabu za J abb;;J, Wapita wenye khiyari, Kama umeme aikiya. Kama wa- kwlleta, !a takapo kupapta, H1yo ndiya ya SWaratwa, Waldaa Rabbi .1wafanyie kara11111, Na kulla chema cha ta11111, Wale w akiha41 thiya. KiN wavao uzuri, Kwa 11 baai dha hariri, Na .ura 4hitoke nuri, Paaiwe mliya nsowa Wa.Da na peto 4han4&Di, Na huliya alw&Di, Baai w&n&iyw poponi, K'lllla JiDai klmgiya WaciDo wapen4o nyaJU, Na -ifa sa kujisema, Kwa thawalnl na reh-., Walizo Waldll& n&iya pepoDi, Waliyuu dhiun&oDi Waeeme ya dUDiy;;i1 ... ._ IIAPAN.1, 208, Waatarehe

PAGE 24

-23 ''"" 218. Waatarehe Pepooi W&DBtye JI&Chorofani Waone Bara-l-87Di, 210 221. 222 22). 224. m. 226. 227. Wake wastyo udhiya wote waendeyane, Zoto hadtthi wanene, Na wabiai we.biaane lfa lmaahau dUDiya. He.wana Ddae. ya lmla, Bawana ld.u aawila, HaW&WIIWt na ll&llala, Jlaradhwi farwlt aawata, liDraldmldri awiratwa, Halt Uiyo "-IUII.bty Ba Ddtya hi.yo a1 ld.sa, 1t&wa}l0tosa, Yatelosa yatelosa, Halt Utyo lr:ukaa. aaal.t' Wa"-aaldya JI1Jaa Dll17a Di 1, Bclil'O ..U.ya Cui hi.ya. ( Wabtabi wabtahane

PAGE 25

== 24 == 228. Tul.ikuwa duniyani, Tuk111oma Qur 1 ani Tuki:f.'unca Ra.madhani Ila tukawata moya, 229. Tukawata ku4hQkur1, Mubammadi Kukhtari, Ikatuzin&a 4ahar1, Ghururi zikatungiya. 230. YUle .llalaka .. toni, Kawauza nam81y&R1, Hamu.yuwi Qur 1 ani, 2.)l.. 232. 233. 2.34. 235. Yakwamba ndake Nabiya. Kw ani kaaahau tumwa, Jluhammii lllllkarama, Aliyo7Uwa neema, Na pepe zote jamia. XUildya wa1'181d1, Iaimu ya Muhmm, Niill1 dllae d.hikanadi I ailm kuwanadiya. Ba wapande llil.ima, Swiratwa Wa aaali .;e.a,njema, Wende wakaadhibuwa. Kwenye aaali kaaihi, Byoyo hazina :tarihi, Bikel.ele na awiyalli, Ba wa&in wakiliy Kakelele na zamiyo, Ba na mata.yo, 6&W&DYaaai k111ye, Kwa matu.ncu wakiliya 236. WaldlizaDYa k:wa kweli, Wald.clhukuri Jalali, Rabbi uiye baia11, 237. Hcliwe pweke twaku7UW Yeo t'U.aekunad.ild, Kuwa D1 Kela wa Tondolee kulla dbwik1, Xifay&Di wa-Diha.Ta. 238. TUtowe katika

PAGE 26

25 u 238. TUtowe katika Nari, i'umekiri tumekiri, Niwewe Mola Jabbari, Hako mwengine katwaa. ___.. 239. Na Muhammadi n1 mtumwa -,.. Ni kweli aliyoa._, Tungawata kllyanllama Yeo 240. AtawaJibu Mannan1, Ny....ani nyamaani, Yeo hufaliya n'ni, Niblu-e kuiyutiya,. 2U. Nyamaani mu eo haya, JlaD&i nalowatendeya, Kakas141 kupo1eya, lblkaaJ14ama Jah".t, 243, Mukai tiya k1 Jlukalluwisa :Ba-r1, KaJasa ymu n1 nari, Lincin 'halitokuwa. 243. Sitaki yeo aitaki, lll'y.aaani w na1'1k1, !awamya k:i1a clhwiki, Kusiii kuiyutiya. 244. :B8s1 katlm& llilanco, Wawa to n4aa1 WaroJlCO, Ohaku:la ohao lla1 yao n1 245. nalli Kola i:ar1aa, !wegellho kwa IDil.a aeaa, Haahiaa, Kanono alotwaabiya,. 246. So1e tunciyo twaani, Ya llola wotu Mazmani !wani&IIIA ;yalo dhuwoDi, TUaikhali:tu llhari;raa .( KWISHO >=